Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
..
.....Kwahii comment , naomba huende nje 🤬
Nimeamini jeshi ni nidhamu. Hao maofisa walitii na kweli wakatoka nje ila siamini kama walitoka kwa sababu ya kauli ya KL ila walitoka kwa sababu nidhamu ya utii ambayo walianza nayo toka wakifundwa.
Sipati picha ungekuwa ni umoja wa wakulima sasa mwenyekiti anataka waliochelewa warudi, nadhani patashika ingetokea hapo.
.....Kwahii comment , naomba huende nje 🤬