Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Tena kuchelewa kwa dakika 5Nimeamini jeshi ni nidhamu. Hao maofisa walitii na kweli wakatoka nje ila siamini kama walitoka kwa sababu ya kauli ya KL ila walitoka kwa sababu nidhamu ya utii ambayo walianza nayo toka wakifundwa.
Sipati picha ungekuwa ni umoja wa wakulima sasa mwenyekiti anataka waliochelewa warudi, nadhani patashika ingetokea hapo.
Huyo Kangi anaoneka hajakomaa akili, mambo ya kitoto sana hayo alokuwa akifanyaBado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Huo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDASiku hizi Mwigulu ameacha kuvaa zile skafu zake za bendera na huyu ataacha kuvaa mashati yake yenye michoro ya bendera
Huo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDA
View attachment 1365713
View attachment 1365713
SEKONDARI .
Sawa mkuu,hongera kwa kurudi tena jukwaani humu mheshimiwa,kuna maswali mengi yaliulizwa kukulenga enzi hizo kabla uwaziri haujakuweka bize,sasa hivi nadhani utapata nafasi nzuri kabisa kuyajibu,au kuyatolea ufafanuzi,subiri tunayakusanya Mh, stay tuned.Huo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDAView attachment 1365713View attachment 1365713 SEKONDARI .
Sasa wanaotoka watapataje kile alichokusudia kuwaambia. Labda kama alikuwa anagawa poshoBado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Naona unajikomba kwa Mwigulu, nataka nikukumbushe kwamba huyo hafanyi uteuzi wowote labda akuajiri nyumbani kwake uwe houseboykiongoz wanadam wanajua sana kuongea mtandaon vitu nonsense,atleast umemjibu kwa hoja.
Lakini Mwigulu naona unajaribu kujishaua, sio wewe yule uliekuwa waziri wa mambo ya ndani, naona sasa hivi umekuwa kama mwananchi wa kawaida kabisa, ccm ndio kikundi cha hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani na kuongoza nchi.Huo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDA
View attachment 1365713
View attachment 1365713
SEKONDARI .
Mimi na wewe nani house boy?kuingia jf ndio ujione dunia ya kwako?Naona unajikomba kwa Mwigulu, nataka nikukumbushe kwamba huyo hafanyi uteuzi wowote labda akuajiri nyumbani kwake uwe houseboy
Mkuu karibu tena jukwaani , Waambie wanaccm wenzio akina Lazaro Mambosasa kwamba JF siyo adui ni jukwaa tu kama majukwaa mengineHuo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDAView attachment 1365713View attachment 1365713 SEKONDARI .
Hoja yangu ni wewe kujikomba, wewe ni stupid, unaingiza wazazi wagu hapa wanahusika vipi ?, popoma mkubwa wewe, endelea kulamba miguu ya hao watawala uchwara.Mimi na wewe nani house boy?kuingia jf ndio ujione dunia ya kwako?
Naweza nikakulisha wewe,baba yako na mama yako,na wengine wote kwa miaka kumi...kama huamini njoo...
Hivi vyeo vya kupewa hivi ni hatari. Hata hao wakuu wa vyombo nao ni vyeo vya kupewa wanafanya hayo hayo huko maofsini kwao.Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Huo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDAView attachment 1365713View attachment 1365713 SEKONDARI .
Sina hakika we ni under 18,humu huwa tunaenda kwa hoja....si kupanic....kama una njaa njoo na familia yako mpate chakula.. next time uache kuropoka ovyo...ongea hoja.Hoja yangu ni wewe kujikomba, wewe ni stupid, unaingiza wazazi wagu hapa wanahusika vipi ?, popoma mkubwa wewe, endelea kulamba miguu ya hao watawala uchwara.
Mpe salamu za Mzee LwakatareMwigulu, Mungu amekulaani, uliwatesa sana watu na Inshallah Mungu akuweke kwenye list ya ICC. Umeua wengi sana. Madaraka utayaacha hapa duniani. Umewasinhizia watu ugaidi na maovu yote ukijua in uongo. Tubu dhambi zako. We ni mdhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app