Omba yasikukute 😂😂🤣🤣🤣Miezi takriban 18 iliyopita Kangi Lugola alimdhalilisha mkuu wa magereza na team yake mbele ya kamera na waandishi wa habari. Wiki hii Kangi Lugola atakua mgeni wa team ile ile aliyoidhalilisha.
ITAENDELEA......
Hahahaaa maisha yanaenda kwa kasi sana maana alio wasulubu bado wanamadaraka wakati yeye akiwa huko kusiko julikana kwakweli hawa wateuliwa waache sifa za kijinga na uonevu kwa kiburi cha madarakaBado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
View attachment 1335233
Atumike kufundishia wengineTushamsahau huyo
Bila ya Mbowe yaelekea huwezi kupata usingiziHasa Mbowe anapaswa afundishwe kuheshimu Katiba na Madaraka!
Hili la watendaji wa serikali kulazimishwa kubeba ilani ya CCM, linapaswa kukemewa. Kazi ya kubeba ilani ya Waziri sio IGP
Wanamuogopa balaa !Bila ya Mbowe yaelekea huwezi kupata usingizi
Ipo siku tutafungua nyuzi za kumnanga jiwe humu. It is just a matter of time.Hasa Mbowe anapaswa afundishwe kuheshimu Katiba na Madaraka!
Magufuli aiangalie hii clipPole sana Lugola. Hii nchi siyo ya mwalimu na mwanafunzi wake. Ni ya watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaIpo siku tutafungua nyuzi za kumnanga jiwe humu. It is just a matter of time.
Magufuli is a country bumpkin.Ipo siku tutafungua nyuzi za kumnanga jiwe humu. It is just a matter of time.
Very true. I hate this idiot!Magufuli is a country bumpkin.
Magufuri oyeeeeWanamuogopa balaa !View attachment 1680029