VIDEO: Hii ya kutandika Biblia chini ili marehemu apite imekaaje, Mwenye uelewa na hili pitia hapa

VIDEO: Hii ya kutandika Biblia chini ili marehemu apite imekaaje, Mwenye uelewa na hili pitia hapa

Tuazime alibadiri kwa wavaa mitandio tumuwajibishe huyu
 
Uzuri kwa wakristo hakuna ambae anampigania Mungu kwa kudhuru wengine.

Huyo ataachwe Mungu ndio atajua jinsi ya kumhukumu.

Hutaona mapadre Wala maaskofu wanazungumzia hilo suala. Ingekuwa upande wa pili Hadi Sasa kungekuwa na matamko 1000
 
Back
Top Bottom