C cityzen Member Joined Mar 21, 2021 Posts 52 Reaction score 64 Mar 25, 2021 #21 Wamechanganyikiwa hao mkuu achaba nai
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 12,445 Reaction score 27,920 Mar 25, 2021 #22 Tuazime alibadiri kwa wavaa mitandio tumuwajibishe huyu
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Mar 25, 2021 #23 Uzuri kwa wakristo hakuna ambae anampigania Mungu kwa kudhuru wengine. Huyo ataachwe Mungu ndio atajua jinsi ya kumhukumu. Hutaona mapadre Wala maaskofu wanazungumzia hilo suala. Ingekuwa upande wa pili Hadi Sasa kungekuwa na matamko 1000
Uzuri kwa wakristo hakuna ambae anampigania Mungu kwa kudhuru wengine. Huyo ataachwe Mungu ndio atajua jinsi ya kumhukumu. Hutaona mapadre Wala maaskofu wanazungumzia hilo suala. Ingekuwa upande wa pili Hadi Sasa kungekuwa na matamko 1000
Ituzaingo Argentina JF-Expert Member Joined Jun 20, 2020 Posts 1,868 Reaction score 2,191 Mar 26, 2021 #24 sanalii said: Kua na adabu kijana, tena uwe na heshina, ukisoma biblia ndo utajua hekima na busara zinazopatikana mule, usirudie Click to expand... Samahani mkuu kwa kukukwaza.
sanalii said: Kua na adabu kijana, tena uwe na heshina, ukisoma biblia ndo utajua hekima na busara zinazopatikana mule, usirudie Click to expand... Samahani mkuu kwa kukukwaza.