VIDEO: Hili lilimshinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli. Rais Samia apongezwe

VIDEO: Hili lilimshinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli. Rais Samia apongezwe

Uongo mbaya, Samia kajitahidi sana kukamilisha miradi ya kimkakati ya Magufuli. Kama asingekomaa vya kutosha bwawa la Umeme la Stieglers lisingekamilika na Reli ya SGR isingepata push ya kutosha.

Hata ndege ameendelea kuleta nyingi tu!

Apewe maua yake!

Bi Mkubwa popote ulipo pokea pongezi kutoka kwangu ( Missile of the Nation) ila sasa:

1. Acha kuingia mikataba mibovu ya kugawa rasilimali za nchi kama vile ardhi, bandari, misitu etc

2. Punguza safari
3. Zuia mara moja mambo ya wasiojulikana yaliyoanza kurejea, yanakuchafua.
4. Tuletee katiba nzuri ili iwe ni legacy yako bora
Ushauri 1 mpaka 4 upewe maua yako
 
1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
We mzee usijetoa location yako au number ya simu humu ndani. Wasiojulikana hawapendi huu mwandiko.
 
Du

Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Du kumbe Bado Hadi huku
 
Inashangaza watu waliokuwa wanampinga na kumkejeli Magufuli leo hii wanajitokeza na kumsifia kinafiki bila aibu😁😁
 
Back
Top Bottom