2v1
JF-Expert Member
- Mar 28, 2024
- 247
- 358
Me sidhani kama liliwashinda labda uniambie kila awamu hutekeleza jambo kutokana na umuhimu wake wa kipindi hiko.
Kuna maisha walio kuwa wanaishi wazee wetu ambayo kwa asilimia kubwa sisi hatuishi, kila awamu itafanya jambo kutokana na uhitaji wa jambo hilo kwa saa hiyo.
Kadiri awamu iliyopita ikifanya vizuri ndivyo awamu inayofuata hufanya vizuri zaidi, chukulia mfano awamu iliyopita ilifanikisha kuleta maji kwa asilimia kubwa katika eneo unaloishi, tatizo la maji litakuwa limetatuliwa, ikija awamu nyingine huanza kutatua umeme, kwahiyo awamu hii ya pili haita fikiria tena tatizo la maji labda kuboresha zaidi, hivyo ukumbuke muda na gharama nyingi ulizokuwa ukiangaikia katika maji awamu ya kwanza hutoangaikia katika awamu nyingine, hivyo hizo gharama utaelekeza katika ishu nyingine.
Pia ukumbuke watu wanaongezeka kila siku, biashara zinakuwa nazo mzunguko wa fedha unakuwa nao ndiyo maana uwezi ukakuta miaka mitano ya nyuma ni sawa na sasa.