Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unalia?Baada ya kutazama hii video nimelia sana, Mama Samia nakuombea kwa Mungu wangu ninayemtumikia
Ni ID ya nani mkuu?Hii ID nilikuwa na tentative guess..
Ila sasa najipa imani nilichokuwa nakihisi ndio chenyewe.
Ww Elimu unesomea wap mkuu....?Mbulula mkubwa,shule mlienda kufanya nini kama jambo dogo kama hili huelewi?
Unadhani Nchi inaendeshwa kama familia Yako kwmaba Kuna mtu anatunza hela zinasubiria ujenzi au? 😆😆
Kwamba ukiona Bajeti ya Nchi unajua kwmaba hela ipo tayari? 😁😁😁😁😁
We kweli POPOMA mkuu.
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,
Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?
Tz inavizara wengi ww kenya huwezi ishi Jiulize kipindi cha nyerenyere alibinaifisha Migodi, Gesi, Mbuga na Bandari? Nyerere kwa watu wema nizaidi ya ujuavo huo mradi na pesa iliyokopwa hauendani hata kidogo kwa kuwa upo upo endelea hivyo na sijui umri wako basi tu

Ni pamoja na weweKuna mtu alisema vichaa wengi nchi hii sasa naelewa kwanini alisema hivyo.
Ubia unafaida zaidi kuliko hasaraTz inaviraza wengi ww
Tz inavizara wengi ww kenya huwezi ishi Jiulize kipindi cha nyerenyere alibinaifisha Migodi, Gesi, Mbuga na Bandari? Nyerere kwa watu wema nizaidi ya ujuavo huo mradi na pesa iliyokopwa hauendani hata kidogo kwa kuwa upo upo endelea hivyo na sijui umri wako basi tu
Mama mitano tena
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,
Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?
Hana MpinzaniMama mitano tena
Unafungua kwa uongo unafunga kwa uongo1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.
Mengine yote porojo.
Kukopa je?Uongo mbaya, Samia kajitahidi sana kukamilisha miradi ya kimkakati ya Magufuli. Kama asingekomaa vya kutosha bwawa la Umeme la Stieglers lisingekamilika na Reli ya SGR isingepata push ya kutosha.
Hata ndege ameendelea kuleta nyingi tu!
Apewe maua yake!
Bi Mkubwa popote ulipo pokea pongezi kutoka kwangu ( Missile of the Nation) ila sasa:
1. Acha kuingia mikataba mibovu ya kugawa rasilimali za nchi kama vile ardhi, bandari, misitu etc
2. Punguza safari
3. Zuia mara moja mambo ya wasiojulikana yaliyoanza kurejea, yanakuchafua.
4. Tuletee katiba nzuri ili iwe ni legacy yako bora
Hawezi kuacha maana sifa kuu ya kuwa chawa lazima uwe kilaza. Sasa ataachaje kweli hapo?Acha ukilaza mkuu
Mfano wa Mkataba mbovu ni Upi?Uongo mbaya, Samia kajitahidi sana kukamilisha miradi ya kimkakati ya Magufuli. Kama asingekomaa vya kutosha bwawa la Umeme la Stieglers lisingekamilika na Reli ya SGR isingepata push ya kutosha.