Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Naweza kusahau marais wengine wote isipokuwa mmoja tu, naye si mwingine, Ni JPM
Kafanya kazi kwa muda mfupi na kwa wingi mno! Ni ujinga wa wapumbavu kumdogosha JPM
Naamini, asingelianzisha JKNHP sjui kama angekuja wa kujenga
Asingeanzisha tren mwendo kasi SGR, sielewi iwapo angetokea mwenye uthubutu huo
Asingelianzisha hizo barabara 8 Ubungo, mmmh! Sielewi!
Asingelianzisha daraja la busisi, tena hapo isingeliwezekana kabisa
Namna viongozi hawa legelege wanavyoacha ufisadi ushamiri, na kuruhusu kila mfanyakazi wa umma achezee sharubu zao, tungebaki nchi yenye kupanga bila kutenda
Kizazi kijacho, kitamuenzi JPM kama baba wa Uthubutu katika kulijenga Taifa kwa vitendo bila kuuza rasilimali kwa wageni