Massa
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 684
- 854
Punguza uchawa maana kwa ulipofikia ata ukiombwa kinyanyamchungu utatoaOk, kunguni za Chadema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza uchawa maana kwa ulipofikia ata ukiombwa kinyanyamchungu utatoaOk, kunguni za Chadema!
😂 😂 😂 Sijui huyu mama kafanya nn cha maana1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.
Mengine yote porojo.
Shida akili yako ni ya darasa la saba ndo maama wakenya wanawacheka. Shule hamna hata kingereza hamjui1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.
Mengine yote porojo.
Acha umaviccm weweKwenye 1&2, Samia alikuwepo kwenye vikao vya mradi huo, humtoi, aliachiwa mradi ukiwa 15% akamalizia 85%.
Kwenye 3 na kuendelea Unaweza kuthibitisha hilo?
Tuwekee sales agreement hapa tutakuamini!, huyo Lisu wenu kaombwa uthibitisho katimka!
-Kuna mikataba ya ku preserve mazingira asili.
-Kuna mikataba ya kibiashara ya kiubia kiuendeshaji, hakuna sales agreement hapo, mtafungwa bure!
Aliienga kwa aslimia 15% na alonenga kwa asilimia,85% ni nani wa kumsifu?Ukiweka uchawa pembeni huu mradi wa kumsifu ni Magu tuseme tu ukweli
Kinachoniuma ni kuwafukuza Wamasai Serengeti na kuwapa watu maeneo yao wajenge hoteli. Kuwauzia Dubai bandari wakati hawana mafuta wao wenyewe wanategemea utalii na kukopa kutoka emirati zingine.1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.
Mengine yote porojo.
Uongo mbaya, Samia kajitahidi sana kukamilisha miradi ya kimkakati ya Magufuli. Kama asingekomaa vya kutosha bwawa la Umeme la Stieglers lisingekamilika na Reli ya SGR isingepata push ya kutosha.
Hata ndege ameendelea kuleta nyingi tu!
Apewe maua yake!
Bi Mkubwa popote ulipo pokea pongezi kutoka kwangu ( Missile of the Nation) ila sasa:
1. Acha kuingia mikataba mibovu ya kugawa rasilimali za nchi kama vile ardhi, bandari, misitu etc
2. Punguza safari
3. Zuia mara moja mambo ya wasiojulikana yaliyoanza kurejea, yanakuchafua.
4. Tuletee katiba nzuri ili iwe ni legacy yako bora
Bila ya Mjomba kuanzia, Mama Asingeweza kumaliziaView attachment 3028726
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,
Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?
Shida hua sio kuanza ila kumalizaBila ya Mjomba kuanzia, Mama Asingeweza kumalizia
Japo wengi walimtukana na kumuita Dikteta, lakini bila maamuzi magumu na ya kijasiri ya Magufuri hii miradi usingeiona huyu Mama Abdul asingefanya lolote kwasababu amejipambanua kutokuwa na uwezo huo
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,
Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?
Mzee wenu wa haki za kifaragha yupo wapi? Au Amekwenda kudumisha.Punguza uchawa maana kwa ulipofikia ata ukiombwa kinyanyamchungu utatoa
Lakini Samia haibi kabisa swala la uwekezaji au Ubia ni swala la KisheriaJapo wengi walimtukana na kumuita Dikteta, lakini bila maamuzi magumu na ya kijasiri ya Magufuri hii miradi usingeiona huyu Mama Abdul asingefanya lolote kwasababu amejipambanua kutokuwa na uwezo huo
Magufuri aliponzwa na ubabe wake tu kwa kila mtu lakini alikuwa na nia njema na nchi hii.
Hata kama wanasema alikuwa anaiba hela nyingi lakini afadhali ya mke anayemuibia mume wake hela na kuwanunulia watoto wake mahitaji muhimu kuliko mke anayeiba kwa mumewe na kwenda kumuhonga hawala. Huyu hana faida
Chini ya Mama Abdul tumeshuhudia:-
1. Bandari akiwagawia waarabu wa Dubai
2. KIA akiwapa wageni
3. Bahari akiwapa wakorea
4. Ngorongoro - Waarabu
5. Mwendokasi inakufa
6. Ushoga unashamiri kwa kasi
7.
8.
9.
Kama unamuonea wivu kwa kufaidi wewe nae nenda ukafaidi.Mzee wenu wa haki za kifaragha yupo wapi? Au Amekwenda kudumisha.
Samia aongoze mpaka atakapochoka
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,
Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?
Mungu wako wewe ni tumbo tu ndio unalotumikia kupitia uchawa.Baada ya kutazama hii video nimelia sana, Mama Samia nakuombea kwa Mungu wangu ninayemtumikia
Sativa 255?1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.
Mengine yote porojo.