Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kwenye 1&2, Samia alikuwepo kwenye vikao vya mradi huo, humtoi, aliachiwa mradi ukiwa 15% akamalizia 85%.1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.
Mengine yote porojo.
Kwenye 3 na kuendelea Unaweza kuthibitisha hilo?
Tuwekee sales agreement hapa tutakuamini!, huyo Lisu wenu kaombwa uthibitisho katimka!
-Kuna mikataba ya ku preserve mazingira asili.
-Kuna mikataba ya kibiashara ya kiubia kiuendeshaji, hakuna sales agreement hapo, mtafungwa bure!