Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Daah hayana shida basi mbegu hii isambazwe kote nchiniHakuna shida, ni jambo la productivity.
Hakuna shida, ni jambo la productivity.
Tupe uzoefu!Hakuna shida, ni jambo la productivity.
Hata mimi nawaza hivyoGMO Lazima.
Third maize generation ,GMONimeshangazwa sana na kuona hizi video kwanza sio fake ni real zaidi ya yote nikashangaa tena kuona hata hapa bongo yameshafika.
View attachment 3317385
Je kiafya imekaaje haya mahindi?
Wataalamu karibuni sana kuhusu hili
CHASHA FARMING tafadhari nakuomba sana utoe maoni yako kuhusu hizi video.
View attachment 3317383