Video: Hivi hawa wadada, Unique Sisters wapo wapi?

Kuna mmoja hapo alikuwa mkalimani wa wajapan wanaokuja bongo na pia alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya kuuza magari ya kashin car muscat kitambo kile kule kipunguni
Kwa ujumla hawa watoto wa kipozi wote kichwani
Wako vizuri

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…