Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Sijui nazitafutia wapi, labda wenyewe wakiamua kuziachia hizo video zao mana hta nyimbo zao zilikua haziptikani ila ss hv wameziachia achia.Mkuu zitafute kabla sijakusema kwa babu akurekebishe uwe panya..😂