Video: Hivi hawa wadada, Unique Sisters wapo wapi?

kitambo hiyooo nakumbuka channel ten waliabamba sana hawa madada kipindi flan hivi mtayarishaji alikuwa frank mtao
 
Nielewe kipi..?
Video ipo tena nzuri tu. Ktk video kuna sehem wamevaa madera kuna sehemu nyingine wapo beach. Tena kwny video yupo mkk flani anaitwa edy alikua anatangaza kipind cha watoto wetu itv enzi hizo
 
Nami inanijia kumbukumbu Kama hiyo ila Sasa sijui ndo wimbo huu au!! Mkuu iweke Kama unayo..
 
Siku hazigadi Eddie atakuwa mtu mzima saa hizi
Video ipo tena nzuri tu. Ktk video kuna sehem wamevaa madera kuna sehemu nyingine wapo beach. Tena kwny video yupo mkk flani anaitwa edy alikua anatangaza kipind cha watoto wetu itv enzi hizo
 
Nami inanijia kumbukumbu Kama hiyo ila Sasa sijui ndo wimbo huu au!! Mkuu iweke Kama unayo..
Sina video, sijui walizifungia mana ukisearch youtube unapata audio. Hta wimbo wao ule kwa sababu gani pia ipo video yake lkn kuipata sasa ndo ishu
 
Mkuu zitafute kabla sijakusema kwa babu akurekebishe uwe panya..😂
 
Back
Top Bottom