Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
WWE wanaiita "spine buster" na inatakiwa atue na mgongo sasa hapo kwakua alitua na shingo/kichwa then tunasema ni "botched spine buster"..hapana redio alivyorushwa kichwa kilitangulia kugusa kiti /couch while uzito wa mwili ukiwa hewani then ukatua chini
jamaaa atukuwa shabiki wa block lesnar sio kwa suplex cty hileSuplex city
Mkuu aliyefariki ni mosey(redio/radio)AKASINOZOni post: 25613788 said:jamaaa atukuwa shabiki wa block lesnar sio kwa suplex cty hile
R.IP WEASEL
Unajua nilitaka kusema vijana siku hizi wanajifanya Wamarekani sana kwa hiyo si ajabu wakawa Waganda wanajivika lafudhi za Kimarekani, lakini nikachunguza zaidi na kugundua kwamba hapo si De Bar Entebbe.Mbona Kama naskia American English flan hapo. Navyojua waganda English Yao ya kiswahili kama ya bongo tu . Are you sure this video is Original? Halafu jamaa aliebamizwa hapo Kama sio radio Yani. Wamefanana tu physical body
daaaaa inatia huruma aiaee