Video: Hivi "vetting" hufanyika kweli kabla ya uteuzi wa viongozi? msikilize Kenani Kihongosi akitetea kitendo chake cha kucharaza viboko watu...

Hahahaaaaa...
Mwana "praise team" ya JPM leo umekosa uzalendo!?
 
Vetting huangalia historia na hutumika kutabiri tu kuwa huyu atatufaa na blaa blaa nyingine ila haijui future itakuwaje. Ndio maana watu hufanyiwa vetting ila baada ya madaraka watu hugeuka.
Hapana Mkuu watu wenye fani zao huwa wanajua future ya mhusika kwa sababu ni process ndefu so huwa wanajua tabia ya mhusika kiundani zaidi
 
Mkuu 🤣 umeanza kupona.

Au ID inatumiwa na mtu mwingine ?

Maisha yako kasi mnooo
 
Yaani nimemsikiliza nimemshangaa sana..!!! HIVI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI NI KWA WASIO NA MADARAKA PEKEE...!!?? Kwa mchezo huu huyu akimkamata mwizi atamuuwa kisa wizi umekatazwa kisheria..

Ametumia muda mwingi kuelezea madawati kuliko kuelezea uhalali wake wa kuchapa watu viboko...!!!
 
Acha wale viboko ujinga ujinga umezidi sana mtaani
Ruhusu ubongo upate oxygen kabla ujaondika mkuu, kwani hakuna sheria za kufata kudeli na huo ujinga unautanabaisha!? Unataka kusema niruksa kiongozi kuchapa raia pindi wanapokosea bira kufuta sheria!? Ushajiuliza ni wame na wazazi wa watu hao walio zalilishwa hapo? Sio kila kitu cha kusapoti mkuu
 
kuchapa viboko ni ishara kua bado jamii yetu iko kwenye primitive stage,in modern days the most human degrading and embarrassing punishment ni kuchapana viboko hadharani.
Kabisa mkuu
 
Ila Kama sikosei boss wewe hapo kabla ulikuwa mtu wa kumsifia Magufuli Kila afanyacho...imekuwaje tena hapa unamuombea mabaya!?!!?
Hata mimi nimeshangaa labda kaminywa huko.
Wana CCM wengi wapo huko kimaslahi yakiondolewa wanabadili mwelekeo.
 
Hapana Mkuu watu wenye fani zao huwa wanajua future ya mhusika kwa sababu ni process ndefu so huwa wanajua tabia ya mhusika kiundani zaidi
Most of us have uncertain future how on earth can the mere human being predict it? tena hapa tz?
 

Nani kakuambia yeye huyo DC siyo mwizi?

Kwa hiyo unataka kutuambia na yeye tukihisi kuna rushwa na ufisadi ktk ofisi yake wananchi tuhamasishane ili kuwashambulia na kuwacharaza viboko wote waliomo ofisini make?..

HAPANA, mambo hayaendi hivyo...!!

Mungu muumba mwenyewe ameweka utaratibu mzuri wa kuhukumu watu wake kwa kuwasikiliza kwanza...

Kamwe hatoi hukumu dhariri na za kutweza utu wa mtu kama huyu DC...

Sisi siyo wanyama tunaoishi kwenye shamba la wanyama (Animal Farm) kwamba, the fittest are the one who survives and the weak perishes...!!
 
Kwa hiyo Mkuu tuendelee kukaa kimya kwakuwa siyo sisi tuliocharazwa viboko hadi pale zamu yetu itakapowadia ndiyo tupige kelele siyo??
Mwanaume unacharazwa vipi viboko na mwanaume mwenzio Ina maana huna hata meno!
 

Basically, there's a big problem somewhere in the govt system...

Ndiyo maana serikali na nchi yetu inachafuka kwa sababu ya viongozi mbumbumbu wa taratibu na sheria kama huyu DC..

Sijui kwanini hakuweza kutoa maelezo tu kwa mamlaka za kisheria kuchukua hatua kwa sbb obviously, kama wametenda kosa kweli, wangeamuliwa kulipa fidia ya uharibifu wao...
 
SAwa Mahakama, hakimu na magereza, adhabu ya mkoloni tumeipata, MITANI TENA
 
SAwa Mahakama, hakimu na magereza, adhabu ya mkoloni tumeipata, MITANI TENA
 
SAwa Mahakama, hakimu na magereza, adhabu ya mkoloni tumeipata, MITANI TENA
 
huyu jamaa akifikia hali ya makonda akatupwa nje na kukaa jukwaani na maraia itakuwaaje.....Mimi binafsi ntawafadhili hao jamaa tumfuate tumuhoji kidogo..ilikuwaje?
 
kuchapa viboko ni ishara kua bado jamii yetu iko kwenye primitive stage,in modern days the most human degrading and embarrassing punishment ni kuchapana viboko hadharani.
hata mnawezahimiza viboko viondolewe shuleni.

hamna nia njema nyinyi.
 
Na wewe fanya tu, wengine wataona umefanya ujinga na utakula mboko za waya mbele ya mumeo au mkeo ama watoto wako au dem wako ama baba yako au mama yako!!!!
Mtu mzima na akili zake anaenda iba madawati na viti vya shule, halafu anaaribu rasilimali kisa apate chuma chakavu akauze. (Unaaribu mali ya elfu 50 kisa upate elfu mbili sijui tano).

Wakati wenzake wanapigana kujaribu kila mwanafunzi apate mahala pa kukaa.

Huyo ata watoto wake, mke wake na wazazi wake wakisikia alichofanya watasema baba yao jitu jinga kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…