residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hahahaaaaa...Jiulize kwa nini Raisi Magufuli hajatengua uteuzi wake ? Mbona wengine hata kama ni Jumapili au sikukuu utasikia katenguliwa mara moja, maana yake ni kwamba Raisi wa nchi mwenyewe angefanya hivyo hivyo, huyo DC mnamuonea tu lkn aliyewachapa viboko hao Watanzania ni Raisi Magufuli mwenyewe, so sad, unapokuwa na Raisi wa nchi ambaye kwa kawaida anapaswa kulinda na kuwatetea Wananchi yeye ndiye wa kwanza kuonea, kudhalilisha mtu mweusi, Raisi Magufuli atashindwa na hatofanikiwa kama anaonea Watanzania, Mungu atamlaani na kumuadhibu.
Mahakama peke yake ndiyo inayopaswa kuhukumu, kama hao Watanzania walifanya makosa kuna polisi, wangewakamata na kuwafikisha Mahakamani na hukumu kutolewa kwa mujibu wa Sheria zetu, ...
Mwana "praise team" ya JPM leo umekosa uzalendo!?