Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

Umeamka nimekusubiri sana

Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi

Nimeamka, kwani wewe bado umelala ??,

Kama hutoi takwimu sahihi, muda mfupi nakurushia bomu hypersonic lilobeba kombora la "juju"---- utabanwa mbavu hadi utafute takwimu sahihi na uzitoe hapa ndipo litaachia mbavu zako.

My friend, I'm serious on that.😏
 
Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi
 
Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi

Leo nimekunulia gazeti la kusoma ili utumie siku hii ya jumapili kujifunza usichojua kuhusu kiini cha mzozo kati ya Russia na Ukraine , stay tuned:-

Sio suala la takwimu tena hapa, nimeisha kusamehe bure (free of retribution), ni suala la wewe kujifunza kupitia hilo "gazeti" nililokununulia, soma hilo gazeti au hujui kimombo??!!, wewe ni Mkenya gani usiyejua kimombo?!!🤣🤣🤣
 
Binafsi naona ni maendeleo ya Technologies
Hata hivyo bado sijalaumu Africa kwa kutokuwa na hivyo vifaa kwani vifaa vya kivita hununuliwa kulingana na maadui unategemea kupigana nao vita ikitokea.
Hata hivyo kuna kitu kwenye Uchumi kinaitwa Opportunity cost kuwa, hatuna resourses za kutosha kukamilisha Infrastructure na superstructure hivyo tukiamua kununua hayo masilaha inamaana vitu vingi ambayo ni muhimu zaidi kwa sasa vitasimama. Sasa kuna haja gani ya kununua limeli ya kutulia ndege baharini wakati hata hiyo vita hatuitegemei?
Uchumi ukiimarika na kukiwa na umuhimu kulingana na aina za maadui tunaoforcust tutanunua
 
Sio suala la takwimu tena hapa, nimeisha kusamehe bure (free of retribution), ni suala la wewe kujifunza kupitia hilo "gazeti" nililokununulia, soma hilo gazeti au hujui kimombo??!!, wewe ni Mkenya gani usiyejua kimombo?!!🤣🤣🤣

Sio suala la takwimu tena hapa, nimeisha kusamehe bure (free of retribution), ni suala la wewe kujifunza kupitia hilo "gazeti" nililokununulia, soma hilo gazeti au hujui kimombo??!!, wewe ni Mkenya gani usiyejua kimombo?!!🤣🤣🤣
Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi
 
Baada ya hivi vita mataifa yote yatawekeza sana kijeshi, maana ni dhahiri hakuna kuaminiana tena, Ukraine walifanya ujinga wa kupokeza silaha zao za kinyuklia baada ya kuaminishwa na Urusi hawataingiliwa.
Sasa hivi aidha ujiunge kwenye muungano wa kujihami kama NATO au uwekeze kwenye silaha kibabe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tunatakiwa tuforcus kuzalisha kwanza na kuanzisha viwanda vyetu ili kukuza uchumi na kuongeza Ajira (vijana wengi hawana kazi)
Wala usiumize kichwa, Kuna ile theory ya Maslow, inaeleza Vizuri....mambo mengine huja yenyewe uchumi ukiimarika au pengine Relationship na Nchi zilizozunguka na nguvu yake ya Kijeshi.Kimsingi Forcus hapa ni kuimarisha uchumi na sio silaha hizo zitakuja automatically
 
Turkey wanaendelea kuongeza idadi ya drones, hizi hapa most latest ambazo zimeboreshwa zaidi

Turkey wanaendelea kuongeza idadi ya drones, hizi hapa most latest ambazo zimeboreshwa zaidi

Toa takwimu ni idadi gani ya hizo drones zimepelekwa huko, bila takwimu you have no right to speak.
 
Turkey wanaendelea kuongeza idadi ya drones, hizi hapa most latest ambazo zimeboreshwa zaidi

- 🇷🇺🇺🇦❗❗The Russian Armed Forces with high-precision air-launched missiles struck at the training center of the special operations forces of the Ukrainian armed forces, where foreign mercenaries arrived in Ukraine were based, near the settlement of Ovruch, Zhytomyr region. More than 100 servicemen of special operations forces and foreign mercenaries destroyed - Russian Defense Ministry............

.......kwa sasa ni mwendo wa hypersonic tu hadi paeleweke
 
Kazi ipo kwa Jeshi la Urusi,raisi Zelenskyy aliwaambia wajisalimishe kama hawa
taki kufa,wao wanadhani utani na kuleta dharau😂

Huwa mnadanganyana vijiweni eti 😁 mtu muongo utamjua tu
 
Toa takwimu ni idadi gani ya hizo drones zimepelekwa huko, bila takwimu you have no right to speak.

Pro amerika hawa sheikh 😁, wazee wa Propaganda, mbuzi akinya karanga watasema kanya dhahabu
 
Toa takwimu ni idadi gani ya hizo drones zimepelekwa huko, bila takwimu you have no right to speak.

Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…