Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

tunatakiwa tuforcus kuzalisha kwanza na kuanzisha viwanda vyetu ili kukuza uchumi na kuongeza Ajira (vijana wengi hawana kazi)
Wala usiumize kichwa, Kuna ile theory ya Maslow, inaeleza Vizuri....mambo mengine huja yenyewe uchumi ukiimarika au pengine Relationship na Nchi zilizozunguka na nguvu yake ya Kijeshi.Kimsingi Forcus hapa ni kuimarisha uchumi na sio silaha hizo zitakuja automatically

Japo nakubalana na wewe kiaina, ila uchumi na kijeshi lazima ziendane, mkilegea kijeshi na kukomaa na uchumi tu, atakuja chizi jirani awaharibie vyote mlivyovijenga, miundo mbinu aipige mabomu kama Urusi anavyofanya kwa Ukraine.
Leo hii kama Ukraine hangepokeza manyuklia yake, angeogopwa na hakuna yeyote angemguza, fahamu hata Urusi haguswi na Marekani au NATO kisa manyuklia aliyojihami nayo, na huwa yupo tayari kuyafyatua akiguswa.
 
Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.

Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.

Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenya manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.

Wakenya bhana wajinga wajinga sana.
 
Urusi ni taifa linalosifika kwa ubora wa silaha, sasa inakuwaje wanadunguliwa kama viwete?
 
Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.

Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.

Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenya manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.

Maskini Urusi Dah
 
Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.

Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.

Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenye manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali kwa kichwa siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.

Hii uturuki ya Edogan ni fire sanaa wamepiga hatua sanaa

Jamaa wamekopa Teknolojia ya Arrow 3 tokea Israel

Jamaa wana miliki kiwanja cha ndege kikubwa zaidi Duniani kwa sasa

Shirika lao la ndege lima afya nzuri ....

Personally wana nivutia sanaa
 
Urusi wanatia huruma sana

Back
Top Bottom