Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?


Japo nakubalana na wewe kiaina, ila uchumi na kijeshi lazima ziendane, mkilegea kijeshi na kukomaa na uchumi tu, atakuja chizi jirani awaharibie vyote mlivyovijenga, miundo mbinu aipige mabomu kama Urusi anavyofanya kwa Ukraine.
Leo hii kama Ukraine hangepokeza manyuklia yake, angeogopwa na hakuna yeyote angemguza, fahamu hata Urusi haguswi na Marekani au NATO kisa manyuklia aliyojihami nayo, na huwa yupo tayari kuyafyatua akiguswa.
 
Wakenya bhana wajinga wajinga sana.
 
Urusi ni taifa linalosifika kwa ubora wa silaha, sasa inakuwaje wanadunguliwa kama viwete?
 
Maskini Urusi Dah
 
Hii uturuki ya Edogan ni fire sanaa wamepiga hatua sanaa

Jamaa wamekopa Teknolojia ya Arrow 3 tokea Israel

Jamaa wana miliki kiwanja cha ndege kikubwa zaidi Duniani kwa sasa

Shirika lao la ndege lima afya nzuri ....

Personally wana nivutia sanaa
 
Urusi wanatia huruma sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…