Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Chapa kazi mamaHakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
View attachment 2013760
Kaziiendelee Jabali la SiasaHakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
View attachment 2013760
Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
View attachment 2013760
Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
View attachment 2013760
Ni matatizo ya lafudhi tu mkuu ila anaelewa anachokitamkaUshauri wa bure: Kutamka sahihi majina ya watu, hasa wakuu wa nchi ni kielelezo kikubwa cha jinsi ya elimu yako ya yanayojiri duniani, jinsi unavyowaheshimu au kuwajali na jinsi ulivyo serious. Hapa Waziri wetu wa Mambo ya nchi za Nje anamtamka rais wa Misri "Ali Alsis' jina ambalo ni tofauti kabisaa na linavyoandikwa na kutamkwa. Kweli, kama kiongozi wa dilomasia huwezi kuchukua dakika kumi ukasikiliza linavyotamkwa? Tena siku hizi hata kwenye Google wanakupa matamshi. Ni kwa sababu hiyo hiyo walimpotosha rais naye akalitamka ' Al-sis' badala ya 'As siisi', nikaona midomo ya baadhi ya Mawaziri wa Misri ina 'pout' kwa kumsikia mgeni anashindwa kutamka jina la mwenyeji wake! Kama Waziri wa Mambo ya nchi za Nje lazima utamke sahihi majina ya viongozi unaokutana nao au anaokutanan nao rais, no excuses!
Halafu Misri siyo kama Comoro kuwa rais wake hajulikani. Ni nchi ambayo kila siku iko katika vyombo vya habari duniani.
Watanzania tuna tabia iliyojikita ya kuchukulia kila kitu kuwa kawaida tu, noma, bila kujiandaa au kujiandaa dakika ya mwisho. Ndiyo maana hatuendi popote!
Ndiyo tulivyo!Ni matatizo ya lafudhi tu mkuu ila anaelewa anachokitamka
Nadhani hii haihusiana na kiwango cha elimu ya mtu,Ndiyo tulivyo!
CJADEMA kwanini hamna adabu aisehii thread ni sawa na mtu anajipiga kidole cha back halafu ananusa kwamba hajui atakutana na harufu gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Tumekusoma chiefNarudia tena na tena, Tangu Tanzania iwe huru haijawahi kuwa na Rais bora namna hii
Hata wanaopinga wanakubali kimoyomoyo
Mama Chapa kazi tu
GOOD!!Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
View attachment 2013760
Umeona lini?Utashangaa pamoja na hii ziara lakini mji wa Dodoma unaendelea kujengewa bila mpangilio.
Kuona nini? Lini kuhusu kitu gani mkuu?Umeona lini?
Nani?Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo