Video: Hizi ndio akili za bodaboda

Sio nilikua mbia chali yangu amesema 'umeniharibia Gari yangu' sikiliza tena
Tumia akili mkuu aliyekua anarekod hao boda ndo rahis kusikika sauti yake anasena si nilikwambia chali yangu, ungesikia vip saut ya mwenye gari lililogongwa wakat si yy aliyechukua iyo video na umbali wa gari na anayerekod usingeweza kusikia sauti yake.
 


Dar es salaam kuna ajali nyingi sana na kila mahali, issue ni coverage tu ya Habari, ukitaka kujua wingi wa ajali za boda nenda Hospital
 
Ka vile walokuwa wanachukua video walifanya mambo ya kishirikinaaa ajali itokee
Hapana nadhani ulikua ni msafara wa pikipiki ndio wakaanza kurecord huku wakiambizana kwa speed hii lazima ajali itokee ndio maana baada ya ajali ukamsikia jamaa akisema " si nilikwambia chalii yangu"
 
Kufunguliwe uzi maalumu wa hawa watu itumike kama safety reminder platform yao wajifunze kutokana matukio mbalimbali ya wenzao
 
Sio nilikua mbia chali yangu amesema 'umeniharibia Gari yangu' sikiliza tena
Mkuu hujui hata kuunganisha dots!?,huyo mchukua video alikuwa anawachukua machalii waliopita wawili kwa kasi wanavyoendesha speed pengine akimwambia ilivyo hatari, ghafla hajamaliza kumchukua wa pili aliyepita ikatokea ya tatu kulia ikajigonga ndo akamwambia aliyenaye "si nimekwambia chalii yangu",na akakatisha kuchukua video asionekane mchawi kibongobongo. Sasa huyo wa kwenye gali lililogongwa yupo full tinted kafunga vioo ungemsikiaje akiongea!?,huwa najiuliza watu wengine mnafikiria kwa kutumia nini!?
 
CCM inawaambia hiyo ni ajira murua kabisa tena wamewapa jina eti maafisa usafirishaji kumbe wenzao nia yao ni kuwapunguza kimtindo.
 
Lem
Lema alisemaga kitu.
 

Ingawa ajali haina kinga, lakini kwenda spidi ya hivyo ni kama kucheza kamari na uhai. Abiria anapaswa kudhibiti mwendeshaji limbukeni. Tena wengine wanaweka miziki sauti kali hadi usikivu wa honi barabarani unakuwa hafifu.
Wanajiona miamba,wana misifa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…