Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Godbless Lema aliongea ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sauti ya mangi ni sauti ya lafudhi ya vijana wa Arusha nahisi utakuwa hujawahi ishi chugaAmesema 'umeharibu Gari yangu' sauti ya Mangi Meza
Ni Mangi mdudu kabisa huyoSio sauti ya mangi ni sauti ya lafudhi ya vijana wa Arusha nahisi utakuwa hujawahi ishi chuga
HahahMb 2 tu, wewe kweli mwananchi mnyonge
Tumia akili mkuu aliyekua anarekod hao boda ndo rahis kusikika sauti yake anasena si nilikwambia chali yangu, ungesikia vip saut ya mwenye gari lililogongwa wakat si yy aliyechukua iyo video na umbali wa gari na anayerekod usingeweza kusikia sauti yake.Sio nilikua mbia chali yangu amesema 'umeniharibia Gari yangu' sikiliza tena
Ni kweli kabisa.Mchukua video anasema
"Si nilikuambia chalii yangu" Wala sio mambo ya kuniharibia gari yangu, dereva hata hasikiki, acha ujuaji
Wakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake.
Alafu kwanini ajari nyingi za bodaboda huwa ni Arusha? Au kwasababu ya bangi zao?
View attachment 2963456
Hapana nadhani ulikua ni msafara wa pikipiki ndio wakaanza kurecord huku wakiambizana kwa speed hii lazima ajali itokee ndio maana baada ya ajali ukamsikia jamaa akisema " si nilikwambia chalii yangu"Ka vile walokuwa wanachukua video walifanya mambo ya kishirikinaaa ajali itokee
Kufunguliwe uzi maalumu wa hawa watu itumike kama safety reminder platform yao wajifunze kutokana matukio mbalimbali ya wenzaoWakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake.
Alafu kwanini ajari nyingi za bodaboda huwa ni Arusha? Au kwasababu ya bangi zao?
View attachment 2963456
Mkuu hujui hata kuunganisha dots!?,huyo mchukua video alikuwa anawachukua machalii waliopita wawili kwa kasi wanavyoendesha speed pengine akimwambia ilivyo hatari, ghafla hajamaliza kumchukua wa pili aliyepita ikatokea ya tatu kulia ikajigonga ndo akamwambia aliyenaye "si nimekwambia chalii yangu",na akakatisha kuchukua video asionekane mchawi kibongobongo. Sasa huyo wa kwenye gali lililogongwa yupo full tinted kafunga vioo ungemsikiaje akiongea!?,huwa najiuliza watu wengine mnafikiria kwa kutumia nini!?Sio nilikua mbia chali yangu amesema 'umeniharibia Gari yangu' sikiliza tena
Lema alisemaga kitu.Wakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake.
Alafu kwanini ajari nyingi za bodaboda huwa ni Arusha? Au kwasababu ya bangi zao?
View attachment 2963456
Wakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake.
Alafu kwanini ajari nyingi za bodaboda huwa ni Arusha? Au kwasababu ya bangi zao?
View attachment 2963456
Wanajiona miamba,wana misifaIngawa ajali haina kinga, lakini kwenda spidi ya hivyo ni kama kucheza kamari na uhai. Abiria anapaswa kudhibiti mwendeshaji limbukeni. Tena wengine wanaweka miziki sauti kali hadi usikivu wa honi barabarani unakuwa hafifu.