Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pale baada ya kutoka ndo anajuta. 🤣🤣 bora nisinge..😂😂😂😂 kapagawa vibaya mno kasahau hata pikipiki
Ah mtaniAisee! Huyo ndio yule mwana kulitaka.
Mtani aliposikia ile miluzi basi akataka awaoshee. 😂😂Ah mtani
Ukizuia hii utazidisha wanywa gongo, ambayo ni hatari zaidi lipi jema?Kodi tutapata wapi zikipigwa marufuku
Hapo utasikia analaumiwa ibilisi