VIDEO: Hospitali iliyojengwa haraka zaidi, yaanza kazi

VIDEO: Hospitali iliyojengwa haraka zaidi, yaanza kazi

Huo ugonjwa haujadhibitiwa tu maana kidogo tulishikwa masikio na pompeo
 
Jengo la hospitali kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa corona katika jimbo la wuhan nchini China limekamirika ndani ya siku 10 na limeanza kupokea wagonjwa.

Angalia hapa [emoji116]

View attachment 1346973
Nikajua wamepiga tofali za udongo wakazichoma na kuchimba msingi wa ghorofa wakanyanyua ghorofa kwa siku 10, kumbe ni kuunga machuma mbona siku 10 nyingi mno... [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwekea evidence kuwa si kweli hii taarifa ... Nina videos nyingine za wachina wenyewe wanalalamika serikali Yao kupiga propaganda mitandaoni wakati huduma za hiyo corona virus ni mbovu na Hakuna hospital imejengwa kwa huo muda ... Zikifanikiwa kupanda utaona hapa jukwaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Sana, watakua na undugu na CCM
 
Back
Top Bottom