Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
Awesome ,unapotizama unahisi no CGI, au simulation Fulani hivi.Jengo la hospitali kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa corona katika jimbo la wuhan nchini China limekamirika ndani ya siku 10 na limeanza kupokea wagonjwa.
Angalia hapa π
View attachment 1346973
Sasa watu wako china na wako site wamerecord wakiwa site unasema ni propaganda, halafu wewe uko Maramba-Mawili ndio tukuaminiTupe ukweli unaoufaham wewe comrade.
Ile habari uliyopost pale ukiifuatilia unaona ni propaganda nyingine ikiongelea jambo hilo
Daaa,natamani siku moja kama nchi tufikie uwezo wa kufanya mambo ya kijamii kwa spidi na yenye ufanisi hivoSasa watu wako china na wako site wamerecord wakiwa site unasema ni propaganda, halafu wewe uko Maramba-Mawili ndio tukuamini
Sent using Jamii Forums mobile app