Unaonyesha usivyo na akili! Hata jibu ulilopewa umeshindwa kulielewa unabwabwaja tuu. Nani kakuambia wewe mpinzani?Mimi siyo mpinzani mkuu usinitukane!! Mimi ni mtawala natawala nchi ya Tanzania wapinzani mazuzu ni hao wakina Sugu na mleta thread.
Alipigwa chini au alipinduliwa?Kumbe ubunge amepigwa chini!! Nilifikiri ni mbunge wa Mbeya. Amebaki kutoa hotuba kwenye misiba tu!!
Anapembua kin........ cha dadako!Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Wivu unakusumbua kwa sababu umetawaliwa na uovu.Hata sioni cha maana alichoongea! Au stress za kujindwa uchaguzi.
Kamwulize anayepembuliwa atakusimulia!Kwani hiyo nayo ni kazi?
Siasa kwa kifupi ni maisha ya watu ya kila siku sheikh
1. Utamaduni, ushirikiano na mahusiano
2. Shughuli za uchumi
3. Itikadi zetu kama taifa
4. Elimu
5. Afya
6. Mazingira
Nk
Huwezi kutenganisha siasa na utamaduni, mahusiano, uchumi nk
[/QUOT
Mkuu, Mbele ya mwili wa marehemu, huwenda Tukaanza kumkasirisha aliyemvuna!
Ile Hotel inaweza kubomolewa sasa
Kwa sababu ni Sugu angeongea Magufuri au Majaliwa sifa zingejaa majaba 10000.Aiseee......hii mivyama hii ujinga sana.Hapo ni msibani ila alichoongea sugu,hakipendezi kabisa
Tuendelee hivi hivi mpaka tufikeHapa ndipo tumefika ambapo hata misiba inakuwa ni sehemu ya kupashana!
Si dalili nzuri kwa wale wanaoelewa!
Mjinga ndiye anayeweza kusifia upumbavuKwa sababu ni Sugu angeongea Magufuri au Majaliwa sifa zingejaa majaba 10000.
Unajua hii dunia, sijui inakwenda wapi? Yaani kila mtu akishindwa, anasema matokeo yamechakachuliwa. Mpaka Trump anabisha kuwa hakushindwa. Sasa sijui kwenye uchaguzi huwa wanakwenda kushindana, au huwa wanakwenda kwenye uchaguzi ili wao tu washinde? Alivyoshinda yeye 2015 ndio ilikuwa halali, si ndio??? Sasa hivi kashindwa, matokeo yamechakachuliwa. Basi hata 2015 yalichakachuliwa pia, ndio maana alishinda.Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
kwani uongo hata kama ni ya kizinzi yakitamkwa na hao si mnashangilia?Mjinga ndiye anayeweza kusifia upumbavu
Mbona bwana mkubwa anatumika madhabahu za kabisa kusifiwa na kuabudiwa?Ukimbana sana paka kwenye kona lolote laweza kutokea.
Haya nimatokeo ya kufunga majukwaa halali watu kusema. Sasa wanatumia nafasi yoyote kutoa dukuduku zao.
Anaikumbusha serikali kuwa tulia hakuchaguliwa ila alitangazwa tuHapa ndipo tumefika ambapo hata misiba inakuwa ni sehemu ya kupashana!
Si dalili nzuri kwa wale wanaoelewa!
Utakuwa umekosea njia,nyie mnaoshangilia hayo mavyama ndiyo mnaohangaika.....ndiyo maana mnaaibishwa wakiwageukakwani uongo hata kama ni ya kizinzi yakitamkwa na hao si mnashangilia?
Mbona bwana mkubwa anatumika madhabahu za kabisa kusifiwa na kuabudiwa?