Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

Siasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii

Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?

Ni upumbavu ambao ukilelewa mwisho wake watu watatwangana makonde Mbele ya mwili wa marehemu,

Naomba kutumgwe Sheria ya kuheshimu na kutoleta mizaha kwenye misiba
Bora watwangane tu. Ccm imeiba kura za wabunge wa upinzani wote na kuwaingiza Wana ccm hata Kama hawajashinda. Bora kutwangana ndo kutaleta heshima
 
Hotel ya nyota 3 , baada ya miezi kadhaa itakuwa nyota 5
Yaani huko ndio alitakiwa ajikite zaidi, sababu hizo ni mali zake binafsi, hakua akaekwenda kumsumbua. Siku moja aje kuwa na hoteli kama ile ya Bakhresa kule Zanzibar. Ubunge sio mali yake binafsi, kila mtu anaweza kugombea na akashinda pia. Mbeya ina watu wangapi ambao wanaweza kuwa wabunge? Hivyo hata yeye kama alikubali kuwa 2015 alishinda, akubali pia 2020 alishindwa.
 
Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Pamoja na kazi hiyo ya music ambayo ni fani pekee iliyoipa heshima Tanzania nje ya mipaka. ni mwekezaji jijini mbeya hata mh RAIS JPM anatambua na alizuia unafiki kubomoa hotel yake ya 5star.na amekaribishwa kuwekeza zaidi jijini mbeya kupitia mkuu wa mkoa wa mbeya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hiki kilichotokea mbeya leo ni salamu tosha kwa Ccm kwamba Sugu ni Rais wa mioyo ya wana Mbeya, pole sana Tulia haya yanatokea mbele ya macho yako chadema hua tunachana ukweli tu no kupepesa macho
 
Back
Top Bottom