Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Tulia atllitangazwa kwa nguvu sugu alishinda kwa kishindo Kama ilivyo kwa msigwa na mdee. Majibu mmejionea wenyewe hapo msibaniHuu ni ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia atllitangazwa kwa nguvu sugu alishinda kwa kishindo Kama ilivyo kwa msigwa na mdee. Majibu mmejionea wenyewe hapo msibaniHuu ni ujinga
Bora watwangane tu. Ccm imeiba kura za wabunge wa upinzani wote na kuwaingiza Wana ccm hata Kama hawajashinda. Bora kutwangana ndo kutaleta heshimaSiasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii
Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?
Ni upumbavu ambao ukilelewa mwisho wake watu watatwangana makonde Mbele ya mwili wa marehemu,
Naomba kutumgwe Sheria ya kuheshimu na kutoleta mizaha kwenye misiba
noma
Yaani huko ndio alitakiwa ajikite zaidi, sababu hizo ni mali zake binafsi, hakua akaekwenda kumsumbua. Siku moja aje kuwa na hoteli kama ile ya Bakhresa kule Zanzibar. Ubunge sio mali yake binafsi, kila mtu anaweza kugombea na akashinda pia. Mbeya ina watu wangapi ambao wanaweza kuwa wabunge? Hivyo hata yeye kama alikubali kuwa 2015 alishinda, akubali pia 2020 alishindwa.Hotel ya nyota 3 , baada ya miezi kadhaa itakuwa nyota 5
Alipigwa chini na mkurugenzi, maendeleo hayana chamaKumbe ubunge amepigwa chini!! Nilifikiri ni mbunge wa Mbeya. Amebaki kutoa hotuba kwenye misiba tu!!
Pamoja na kazi hiyo ya music ambayo ni fani pekee iliyoipa heshima Tanzania nje ya mipaka. ni mwekezaji jijini mbeya hata mh RAIS JPM anatambua na alizuia unafiki kubomoa hotel yake ya 5star.na amekaribishwa kuwekeza zaidi jijini mbeya kupitia mkuu wa mkoa wa mbeyaHivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Kwahiyo unamuonea wivu huyo dada wa jamaa?Anapembua kin........ cha dadako!
Mbunge miaka 10 bado ahangaike cha kufanya baada ya ubunge?10m ×12×10=Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!