Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

Ni fitna kila mahala. Acha washuhudie waliolianzisha.
 
Usually the church and government sleep on the same bed πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
[/QUOTE]
 
Kwa hiyo uliamini na kuyakubali matokeo ya 2015; sababu Sugu alishinda; ila sasa hauyaamini matokeo ya 2020 sababu Sugu kashindwa?? Mbona sasa ni kichekesho. Ningekuelewa kama ungeyakataa yote. Ila yakiwa mazuri upande wako; unayakubali - yakiwa mabaya; unayakataa??? Aiseee - naona ni very funny.....
 
Kwahiyo ili ujue matokeo ya sasa ni halali lazima kipimo chake kiwe ni uchaguzi uliopita? Unaweza kujenga hoja za utetezi, lakini sio kwa Utetezi wa mfano huu.
 
Tanzania ukiondoa Terms limits, tunazidiwa mbali mnooooooooooooooooooo kidemokrasia na Congo, Uganda na Burundi.

Yaani hata Burundi hapo matokeo ya Urais huhojiwa mahakamani.
 
Kwahiyo ili ujue matokeo ya sasa ni halali lazima kipimo chake kiwe ni uchaguzi uliopita? Unaweza kujenga hoja za utetezi, lakini sio kwa Utetezi wa mfano huu.
Basis za 2015 na 2020 ni zile zile..Tume ni ileile...Wapiga kura ni walewale, sana sana wamebadili tu uelekeo kutokana na waliyoyaona huo upande mwingine waliochagua 2015. Hiyo kusema matokeo yamechakachuliwa; kwa kuongea tu kwenye mitandao, tena baada ya kushindwa, it does make any sense. Lete evidence, sema hiki na hiki kimetokea, sehemu fulani na sehemu fulani, na ushahidi ni huu hapa. Lakini watu wanaongea tu, uchaguzi umechakachuliwa, hakuna evidence yoyote, hakuna mazingira yoyote kuonyesha hivyo. Mtu tu anaamua kuongea sababu ameshindwa. Sasa haiwezekani wagombea wote wanaogombea wakashinda...lazima mshindi awe mmoja.
 

Huna unalojua zaidi ya kupiga Siasa mfu hapa jukwaani. Angalia chaguzi zote za marudio toka Magufuli ameingia madarakani linganisha na huko nyuma. Tazama kilichotokea wakati wa uchaguzi wa SM, kisha angalia idadi ya wapinzani walioenguliwa kabla ya uchaguzi na sababu zilivyokuwa za kitoto. Ukishajua hayo ufanye majumuisho ya kilichotokea. Ni hivi, ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Tanzania ukiondoa Terms limits, tunazidiwa mbali mnooooooooooooooooooo kidemokrasia na Congo, Uganda na Burundi.

Yaani hata Burundi hapo matokeo ya Urais huhojiwa mahakamani.
Naona Pompeo kasharuka na Barua ya kupiga BAN viongozi wa Tanzania walioharibu uchaguzi kusafiri , na ubaya wa BAN ya US kuna nchi kama EU,CANADA na zingine nao ukishakuwa na BAN ya US kwa huingiii , wao na familia zao ...
Sasa ubaya hawajaweka majina lakini mostly likely watakuwa maafisa waandamizi wa tume , serikali waliohusika na uchaguzi , polisi,jeshi na wengine ambao kwa namna moja au nyingine walihusika ...pengine na wabunge walionufaika na matokeo ya wizi ...ni bora wangeweka majina ili kuwatenga wasiohusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…