Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KenyaWapi Nairobi?
Hiyo ni Dar pekee, Kumbuka kunakuwa na Convoy pia kwenye Majiji na Miji yote ya tz, unakuta mpumbavu mmoja anaropoka eti watz wavivu.
Ndio yale yale ya siku zote, Watanzania hupelekeshwa kwa mpigo mmoja. Kitu kama hiki hauwezi kukiona huku Kenya maana hamna sheria ya kuzuia muda wa mabasi kusafiri. Kwa Bongo huwa inabidi mabasi ya mikoani yatoke yote muda wa masaa ya asubuhi ili yasafiri mchana wote na kufika mida ya saa mbili hadi saa nne usiku, la sivyo yanalazimishwa kuegeshwa pembeni abiria wanalala njiani.
Kuna mshikaji wangu juzi amesafiri kwenda Iringa tokea Dar, ilibidi basi liegeshwe walale njiani, sheria za ajabu hizo.
Kwa Kenya, usafiri wa usiku ni ruksa, hivyo hamna haya mahangaiko ya kusongamana, mabasi yanaondoka muda wowote.
Safari ya Dar Iringa alilala njiani? Mzee Ushapiga vitu vyako mapema namna hii?
Safari ya Dar Iringa alilala njiani? Mzee Ushapiga vitu vyako mapema namna hii?
Mwambio ndio sababu ni nadra Sana kusikia ajali za mabasi kuchinja watu kama huko kwao. Huko walipo sisi tulishatoka huko miaka 20 iliyopita. Safari za usiku ziliendana na ajali nyingi sana, wao hadi Leo haipiti mwezi bila kutokea ajali kuwa ya basi, lazima wajifunze kutoka Tanzania, hii ni nchi ya nidhani na mpangilio. Tatizo ni kwamba Kenya hakuna standi za mabasi, kila basi linachoka linakojua lenyewe, nchi isiyo na mpangilio wa maisha hiyo " Purely human jungle "Safari ya Dar Iringa alilala njiani? Mzee Ushapiga vitu vyako mapema namna hii?
Najua umetokea Iringa na unayajua haya sema unajitoa ufahamu, watakuja hapa Wahehe wakutulize.
Mshikaji wangu wa kwenu huko Mhehe, tulikua tunachat naye muda wote mpaka wanasimamishwa na mapolisi hadi likaegeshwa walale.

Mkuu umepiga Vyombo, Tatizo leo umeanza mapema sana[emoji2]Najua umetokea Iringa na unayajua haya sema unajitoa ufahamu, watakuja hapa Wahehe wakutulize.
Mshikaji wangu wa kwenu huko Mhehe, tulikua tunachat naye muda wote mpaka wanasimamishwa na mapolisi hadi likaegeshwa walale.
Mkuu umepiga Vyombo, Tatizo leo umeanza mapema sana[emoji2]
mimi Iringa huwa nakamua masaa 6 hadi 7 maximum, ni Km500 toka Dar,
Ukitoka dar saa 12 asubuhi saa 6 upo Iringa, Huyo jamaa yako alilala wapi?
Huna hoja kelele tu kama kifarangaNdio yale yale ya siku zote, Watanzania hupelekeshwa kwa mpigo mmoja. Kitu kama hiki hauwezi kukiona huku Kenya maana hamna sheria ya kuzuia muda wa mabasi kusafiri. Kwa Bongo huwa inabidi mabasi ya mikoani yatoke yote muda wa masaa ya asubuhi ili yasafiri mchana wote na kufika mida ya saa mbili hadi saa nne usiku, la sivyo yanalazimishwa kuegeshwa pembeni abiria wanalala njiani.
Kuna mshikaji wangu juzi amesafiri kwenda Iringa tokea Dar, ilibidi basi liegeshwe walale njiani, sheria za ajabu hizo.
Niliwahi kusafiri kwenda Arusha, tulitoka Dar kama tumechelewa mida ya saa saba, iltulazimu kulala Moshi, ilinibidi kukodi chumba maana upumbavu wa kulala kwenye basi siwezi.
Kwa Kenya, usafiri wa usiku ni ruksa, hivyo hamna haya mahangaiko ya kusongamana, mabasi yanaondoka muda wowote.