kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
- Thread starter
-
- #81
Acha ujinga wewe, hivi MTU akipata msiba, au amepata tatizo la NYUMBA yake kuungua, ukitoa rambirambi hiyo ni donation, hiyo inajulikana kama community/social accountability.
Huna aibu eti Kenya imetoa donation kwa USA, ni sawa na wewe kumpa donation MO Dewji, ila akipata msiba, hata umpe $10 kama rambi rambi lazima atapokea na kukushukuru, sio kwamba anashida nayo.
Any progressive country looks at countries ahead of it not those behind. Why doesnt kenya look at SA, Egypt etc? why the obession with Tz? Its just pure hatred and fear of competition.
Hahahahaha, Ramaphasa talks about Kenya?, hujala wewe bado unanjaa, msikilize Ramaphosa wakati wa Mazishi ya Nelson Mandela akimkaribisha Kikwete, utajua Ramaphosa anavyoichukulia Tanzania. Kama Ramaphosa anaikubali Kenya, kwanini ameendelea kukataa wakenya kuondolewa visa?
Stop deflecting.
Hii ni kisa moja tu. Bahati kikawa recorded.
Lakini haya ndiyo masaibu wakenya wanapitia kila siku huko.
Hakuna anayekataa kurudi kwao. Lakini kinachoendelea huko ni harassment. Mtu ako na documents zote, anafanya biashara halali, ameinvest pesa yake on 'immovable assets', alafu anapewa siku 3 aondoke nchini.
Polisi kila siku kwake wakimnyayasa.
Pia kuna wengine ambao wameishi huko miaka karibu 30, watoto wao hawajui nchi ingine, alafu siku moja polisi wenu wanawaeka korokoroni ati ni 'wageni'.
There is a heavy correlation between jealousy and laziness.
Kwn we n mchimbaji mitaro..hebu nijuzeAisee wakenya ni rafiki zangu sana ila linapokuja suala la kazi na uhamiaji urafiki wetu unayumba nusu ya kudondoka! Wakenya hupenda kujiinua na kujifanya miungu watu hata pale wanapokuwa wamekuja ndani ya nchi yako kwa njaa zao binafsi bado watataka uwasujudie na kuwaona kuwa wao ndiyo wasomi kuliko afrika nzima,wao ndio wanajua kila kitu,wao ndio wana haki zote hata zile ambazo Mzawa wa nchi husika hana!! Wakati kiuhalisia sivyo walivyo,walichonacho wakenya ni kiburi,ubinafsi na dharau zisizo na msingi wowote,wako huku wengi wanaosaka kazi za kuchimba mitaro na kujenga matofali,ila ukiwakuta wakichimba mtaro na mwenzao ambae si mkenya bado wanamdharau na kumwona kama vile si binadamu aliyekamilika! Na ujambazi ndiyo kazi nyingine anayoiweza mkenya,utadhani huwa wanafundishwa huko shuleni kwao! Wakenya si watu wa kuishi nao,tukutane tu kwenye usafiri au semina baada ya hapo wakae mbali na mimi! Hovyo sana hawa!
wezi wa mali na wake za watu
Nitajie products zenye ziko katika market ya kenya ambazo ni za tz na mm nikutajie zetu tupambanishe...hhhhhMmmh eti laziness nyie wenyewe mnakufa na njaa huko, huo uchapa kazi unawafaidi nini wakati chukula tu chenyewe mnasaidiwa?
Laziness ni wanaume wenye misuli kuwa wakora na kuibia wadada pochi zao hapo Nairobi badala ya kwenda kuponda kokoto wapate pesa
Tanzania inawalisha nyie wote kuanzia matunda mpaka githeri yote inatoka Tanzania
Sio kweli kwamaba Kenyans wanateseka Tanzania, wapo wanafanya kazi na kumake pesa. Wengi ni wazuri, wengine na wabaya na wezi wa mali na wake za watu. Kama ilivyo kwenu kuna watanzania wazuri na wabaya.
So some of you say we are lazy ati...nyie mnawajibika sio? Haahaa haaa the white man syndrome. Our Kenya as USA of Africa!!! Keep it up Wakikuyu, why cant you learn to be kind from your Jaluo or Luya brothers and sisters
Hongereni kwa kingereza kizuri but let it not make you so arrogant.
Msaada wa chakula....hhh...naona juzi tu mlipewa msaada wa flyover...ldc ni ldc tu...wanakomalia ukulima na viwanda vya cherehani...limeni baba pesa iko kenya kila kila mtu na kazi zake si nyie kila mtu anakomaa na ukulimaNdo maana mnapewa msaada wa chakula!
Dr Kiherehere thinks Kenya gives even one https://jamii.app/JFUserGuide about Tanzania... Hahahaha hahahaha has our president even tried picking the phone to tell your fool a single word? Ah... Nope.. we are too busy working with the rest of the world and not just Rwanda like Fool-iAny progressive country looks at countries ahead of it not those behind. Why doesnt kenya look at SA, Egypt etc? why the obession with Tz? Its just pure hatred and fear of competition.
Kila siku mi-jubilee mnajaza nyuzi humu..Dawa yenu ni JPM. na yupo hadi 2025..Chini ya miaka 2 amenyang'anya kenya miradi mwili( Pipeline, SGR) Bado miaka 8..Hata Safaricom mnayo ringa nayo mtanyang'anywa
Dar billionaires now top investors in Safaricom
Stop whinning and start working smart
Mie sijaelewa. Kwani kuna Solar za kuvulia na za Matumizi ya Nyumbani?
Mbona US inawazuia watu kutoka Mexico na kuwaridisha makwao?. South Africa inawa harras citizens from neighboring countries, Europe inafanya hivyo hivyo kwa raia toka poor countries.Countries first and foremost look at who they share a border with. US is always talking of Mexico and Canada despite them NOT being ahead of it.
Alafu, Tanzanians are the ones obsessed with Kenyans. Genuine people being harassed everyday.
Hapa Kenya we could care less of whether Tanzanians in our country are doing business or not. At the end of the day, we know you are inferior businessmen.
Stop talking about tribalism here. Who told you that kikuyus own Kenya? There are a lot of tribes in Kenya. I don't understand why you Tanzanians talk of luos and kikuyusonly.It's like me saying that wachang'aa and waspinach are the ones who rule tanzagizaSio kweli kwamaba Kenyans wanateseka Tanzania, wapo wanafanya kazi na kumake pesa. Wengi ni wazuri, wengine na wabaya na wezi wa mali na wake za watu. Kama ilivyo kwenu kuna watanzania wazuri na wabaya.
So some of you say we are lazy ati...nyie mnawajibika sio? Haahaa haaa the white man syndrome. Our Kenya as USA of Africa!!! Keep it up Wakikuyu, why cant you learn to be kind from your Jaluo or Luya brothers and sisters
Hongereni kwa kingereza kizuri but let it not make you so arrogant.
Mbona US inawazuia watu kutoka Mexico na kuwaridisha makwao?. South Africa inawa harras citizens from neighboring countries, Europe inafanya hivyo hivyo kwa raia toka poor countries.
Siku zote raia toka poor countries lazima wawe harassed when they go to other countries which are better off. We treat Kenyans the same ways USA treats Mexicans, the Sana way Europeans treat immigrants from Africa, the same way South Africa treats citizens from neighboring countries. The message is clear, you are not needed in those countries.
Stop talking about tribalism here. Who told you that kikuyus own Kenya? There are a lot of tribes in Kenya. I don't understand why you Tanzanians talk of luos and kikuyusonly.It's like me saying that wachang'aa and waspinach are the ones who rule tanzagiza
Mbona ana mcheka Magu-Fool-i kilasikuHahahahaha, Ramaphasa talks about Kenya?, hujala wewe bado unanjaa, msikilize Ramaphosa wakati wa Mazishi ya Nelson Mandela akimkaribisha Kikwete, utajua Ramaphosa anavyoichukulia Tanzania. Kama Ramaphosa anaikubali Kenya, kwanini ameendelea kukataa wakenya kuondolewa visa?