Pre GE2025 VIDEO: Huenda huyu ndie Rais anayependwa zaidi barani Africa

Pre GE2025 VIDEO: Huenda huyu ndie Rais anayependwa zaidi barani Africa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 3045019
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.

Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,

"Rais Samia, People do love You Mama"
NATAMANI KATIBA YA NCHI IBADILISHWE NA SAMIA AWE MALIKIA WA NCHI
 
View attachment 3045019
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.

Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,

"Rais Samia, People do love You Mama"
Tuliambiwa na Machadema kwamba Samia anachukiwa sana 😁😁

Usipomchagua Kwa aliyoyafanya basi utamchagua Kwa kuwa ni mama
 
Back
Top Bottom