Pre GE2025 VIDEO: Huenda huyu ndie Rais anayependwa zaidi barani Africa

Pre GE2025 VIDEO: Huenda huyu ndie Rais anayependwa zaidi barani Africa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio siri Samia ni rais anayependwa sn ... kinachomfanya apendwe ni kuwekwa kwenye mabango kila kona ya nchi na kulipa machoko wamuumbie sifa na kumsifia mitandaoni.
 
Sio siri Samia ni rais anayependwa sn ... kinachomfanya apendwe ni kuwekwa kwenye mabango kila kona ya nchi na kulipa machoko wamuumbie sifa na kumsifia mitandaoni.
 
View attachment 3045019
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.

Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,

"Rais Samia, People do love You Mama"

Unawaamini Watanzania. Wapo pake kushangaa magari tu .... Huko Rukwa na Kigoma misafara kama hiyo ni nadra sana.
 
Aaaah ila CCM
Hao wamemfata kondeboy
Hata mimi ningekuwepo ningekuja kumuona konde
Mnajaza wasanii mnajisifu mnapendwa
 
Kwenye ushindani wako uliwajumuisha Hawa au ulikurupuka tuu

download (3).jpeg

download (4).jpeg
 
Kwanza cheki wananchi wenyewe wanaonyosha mikono
Choka mbaya
Ndio maana zile ripoti za nchi ambazo watu wake hawana furaha hatukosi😁
 
Back
Top Bottom