never-ending battle
Senior Member
- Jun 22, 2024
- 168
- 123
Huyu Mama hahitaji kampeni 2025
NATAMANI KATIBA YA NCHI IBADILISHWE NA SAMIA AWE MALIKIA WA NCHIView attachment 3045019
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.
Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,
"Rais Samia, People do love You Mama"
TANESCO TRA Tanzania Halotel Dkt. Gwajima D Moderator Jwtz PolisiRais Kila..zaa!
Huwa mnatoa wapi hizi akili?NATAMANI KATIBA YA NCHI IBADILISHWE NA SAMIA AWE MALIKIA WA NCHI
Tuliambiwa na Machadema kwamba Samia anachukiwa sana 😁😁View attachment 3045019
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.
Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,
"Rais Samia, People do love You Mama"
Sahihi kabisa, Samia anaushawishi balaaTuliambiwa na Machadema kwamba Samia anachukiwa sana 😁😁
Usipomchagua Kwa aliyoyafanya basi utamchagua Kwa kuwa ni mama
Kwani anasifiwa vya uongo?Kwa kiufupi ndio mnasemaa mama anaupiga mwingi cyoo....
Hv hii kusifia sifia ipo Dunia nzimaa au n uku kwetu tu jmn maana ss imezidiii😔
Ila ningesifia hapo ungebubujikwa na machozi ya furaha🤣
Itaeleweka tu