Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Huu ni uwanja uliopo Msoga na mara nyingi sherehe za serikali hufanyika hapo ikiwemo Msoga marathon.
Kutoka hapo mpaka kwa Kikwete kwa mwendo wa gari ni dakika 2, kwa mwendo wa mguu dakika 10-20.
Kiuhalisia huu uwanja ujenzi wake hauna tija yoyote kwa wananchi maana hata huko Msoga kwenyewe wakazi wa huko ni wachache sana na hata nyumba za wageni huko hakuna mpaka uende Chalinze.
Mwendo wa bajaji mpaka Chalinze ni 1500 maana ni mbali mno.