Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ukiona hivyo usharogwa na yule mzee aliyekuwa anapelekewa majina Mkuranga!Najaribu ku attach video hapa nakwama
Kama unatumia vpn na hiyo attach unaitoa mitandao mingine , inakua kama ni robot anadukua taarifa fulani na sio mtu , ndio maana unapata shidaNajaribu ku attach video hapa nakwama
Kama unatumia vpn na hiyo attach unaitoa mitandao mingine , inakua kama ni robot anadukua taarifa fulani na sio mtu , ndio maana unapata shida
Mbali mno1500 kwa bajaji siyo mbali
Kuna hospitali kubwa ya msoga pale.HUwa napita msoga barabarani kule kwa mbaali nikielekea moshi, kile ni kijiji kiukweli kujenga uwanja wa mpira eneo lile ni akili za kimatope...pale wangejengewa zahanati au shule ya sekondari!.