mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Nikweli mchezo wa ndondi ni taaluma kama ilivyo taaluma zingine na ninaheshimu mabondia na taaluma Yao ya ndondi.
Lakini ukweli lazima usemwe. Hivi inawezekanaje kijana wa miaka 27 mwenye mazoezi kede, kupigana na mzee ?, af eti tuseme Hawa ni mabondia walio katika mizania sawaa??.
Huu ni utapeli kama utapeli mwingine , na nimwendelezo wa wabongo kutaka sifa za kijinga na kuishi maisha ya uongo..
Mwakinyo ni bondia mzuri lakini anajishushia heshima kwa kuchagua kupigana na wazee
.