Video: huyu hapa bondia mzee aliyepigwa na mwakinyo

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Ila waTanzania hua tunapenda kudanganywa na kusifia ujinga ujinga.

Nikweli mchezo wa ndondi ni taaluma kama ilivyo taaluma zingine na ninaheshimu mabondia na taaluma Yao ya ndondi.

Lakini ukweli lazima usemwe. Hivi inawezekanaje kijana wa miaka 27 mwenye mazoezi kede, kupigana na mzee ?, af eti tuseme Hawa ni mabondia walio katika mizania sawaa??.

Huu ni utapeli kama utapeli mwingine , na nimwendelezo wa wabongo kutaka sifa za kijinga na kuishi maisha ya uongo..

Mwakinyo ni bondia mzuri lakini anajishushia heshima kwa kuchagua kupigana na wazee
Your browser is not able to display this video.

.
 
Stanley Eribor is a Nigerian boxer that was born on the 16th day of October 1989 in the town of Benin City Edo, Nigeria. His birth name is Igbinovia Stanley Johnson Ogbemudia but he is always known as Stanley Eribo.



His appearance in boxing tournament started on the 3rd of February, 2012. He is currently competing in the welterweight division. Additionally, he won the title in 2015

26 December 2025
Dar es Salaam, Tanzania
 
Mtu wa 89 ndio anakuwa na miaka 62?
Usiamini Kila unachokisoma kwenye mitandao mkuu, Mfano Leo hii msuva wa Taifa stars ndo anafikisha miaka 29, hii ni sawa?huyo boxer kwa kumuangalia tu huyo ni mtu wa 89?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…