Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Wanaume acheni haya mambo jamani yanaumiza sana!

Mwanaume kazingua mno, kumbe alimleta mchepuko wakafanya ushenzi mbele ya watoto?

Ila nimechekaaaa! Anayoyaongea huyo mwanamke kwa hasira yamenivunja mbavu.
Mie naona binadamu wanayataka maumivu tuu wenyewe. Hizi mbususu na de liboloz + le kibamias tuwe tunashare bila wivu maisha yatakiwa poa sana
 
Ukiona mtu kaleta mchepuko ndani amekudharau kiwango cha lami. Kuendelea kuishi naye ni kujidhalilisha.
Mnamaind vitu vidogo nyie...kujipa stress zisizo na kichwa wala miguu.
Baadala ya kupiga threesum unasema amekudharau kiwango cha lami 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni vile hatuna uwezo wa kuwaadhibu unadhani huyo mwanamke angekuwa na nguvu ya kumchinja huyo mume asingemchinja? Au ingekuwa mwanaume ndo kamfuma mkewe ndani mwake angefanyaje kama sio kuwachinja km kuku nyumba nzima, ni kwa vile mnazo nguvu, sie tunatamanigi hata kuwatafuna ila ndo hata kifinyo hatuezi kuwapa ndo hapo tunaishia kuchepuka au kuwamaliza kimyakimya
Siku hizi nimejiwekea bullet proof kuhusu haya mambo. Nategemea chochote kutoka Kwa yeyote wakati wowote. Siwekei mtu dhamana hata kidogo kulinda moyo wangu Mdogo na mashambulizi ya maradhi yasiyotibika.
 
Back
Top Bottom