Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Hao madogo ni wapuuzi sana... uchawa umewazidia!
 

Lakini huyu jamaa yetu nae ndio akalie mzigo nyumbani?
 
Bimdashi anasemaga chelewa kufa uone mengi, kumbe sijaona bado....party ikawa patina mweee....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wanawake hawaeleweki...unawezakukuta nao wanamdandia huyo Maza!
Hayo mengine hatuna ushahidi, ila ni mwanamke hatujawahi sikia tetesi zozote licha ya kufahamiana kwa zaidi ya miaka 15. Hata yule mshikaji sio mtu wa mademu ingawa alikuwa na fursa za kuwatafuna sana tu, yeye pombe ndio ilikuwa ulevi wake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…