Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Kweli kazingua, ila kuna wanawake wengine ni wastaarabu mpaka unashangaa. Kuna jamaa yetu alitualika kwenda kwake kula mbuzi choma siku ya Kumamosi (ilikuwa ni kawaida yetu). Huwa tunaanza na mchemsho wa nguvu, then vinywaji vikali tukiwa tunasubiria nyama choma.
Tunafika pale mida ya saa tano asubuhi tunakuta hali ya usalama ishachafuka. Kumbe asubuhi mke wake kaenda sokoni kununua viungo na mahitaji mengine, huku nyuma kamuacha jamaa na shemeji yake (rafiki ya mke wake) na vijana waliokuwa wanasaidia kuchinja na kuandaa nyama.

Jamaa kumbe kaachiwa gepu na hapo tayari walishaanza konyagi asubuhi na huyo shemeji mtu, wale vijana wachinjaji wanawachora tu (kumbuka mke ndiye aliwaomba waje kusaidia). Muda si mrefu jamaa na shemeji wakapelekana chumbani, madogo wakampigia mwanamke simu fasta akageuza na kupaki gari mbali kidogo. Anaingia anamkuta mme wake anapiga mashine (chumba cha wageni) na mlango wamerudishia tu.

Yule mwanamke kwa kusaidiana na wale vijana wakawafungia watuhumiwa mle ndani, tunafika pale jamaa kawa mpole kama sisimizi, nyama haikulika tena, tulibeba tu mikonyagi tukaondoka. Mpaka leo bado ni wanandoa na wanaishi kwa furaha tele, jamaa hata pombe akapumzika kabisa na kuwa mtu wa familia kweli kweli.
Hao madogo ni wapuuzi sana... uchawa umewazidia!
 
Mama wa watu ukute nanii haijaguswa Ina mwaka sasa hapo hasira za kuliwa nanii ya mumewe plus kichaa cha kutoguswa mwaka vikichngamana matokeo ndo hayo hasira anahamishia kwa makochi na magodoro.
Wakija kusuluhishwa akipatiwa dawa atajiona falaa Sana kwa kuharibu fenicha

Lakini huyu jamaa yetu nae ndio akalie mzigo nyumbani?
 
Kweli kazingua, ila kuna wanawake wengine ni wastaarabu mpaka unashangaa. Kuna jamaa yetu alitualika kwenda kwake kula mbuzi choma siku ya Kumamosi (ilikuwa ni kawaida yetu). Huwa tunaanza na mchemsho wa nguvu, then vinywaji vikali tukiwa tunasubiria nyama choma.
Tunafika pale mida ya saa tano asubuhi tunakuta hali ya usalama ishachafuka. Kumbe asubuhi mke wake kaenda sokoni kununua viungo na mahitaji mengine, huku nyuma kamuacha jamaa na shemeji yake (rafiki ya mke wake) na vijana waliokuwa wanasaidia kuchinja na kuandaa nyama.

Jamaa kumbe kaachiwa gepu na hapo tayari walishaanza konyagi asubuhi na huyo shemeji mtu, wale vijana wachinjaji wanawachora tu (kumbuka mke ndiye aliwaomba waje kusaidia). Muda si mrefu jamaa na shemeji wakapelekana chumbani, madogo wakampigia mwanamke simu fasta akageuza na kupaki gari mbali kidogo. Anaingia anamkuta mme wake anapiga mashine (chumba cha wageni) na mlango wamerudishia tu.

Yule mwanamke kwa kusaidiana na wale vijana wakawafungia watuhumiwa mle ndani, tunafika pale jamaa kawa mpole kama sisimizi, nyama haikulika tena, tulibeba tu mikonyagi tukaondoka. Mpaka leo bado ni wanandoa na wanaishi kwa furaha tele, jamaa hata pombe akapumzika kabisa na kuwa mtu wa familia kweli kweli.
Bimdashi anasemaga chelewa kufa uone mengi, kumbe sijaona bado....party ikawa patina mweee....😅😅😅😅😅
 
Wanawake hawaeleweki...unawezakukuta nao wanamdandia huyo Maza!
Hayo mengine hatuna ushahidi, ila ni mwanamke hatujawahi sikia tetesi zozote licha ya kufahamiana kwa zaidi ya miaka 15. Hata yule mshikaji sio mtu wa mademu ingawa alikuwa na fursa za kuwatafuna sana tu, yeye pombe ndio ilikuwa ulevi wake mkuu
 
Back
Top Bottom