Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
unaoaje mwanamke asiyekuwa na akili kama huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaoaje mwanamke asiyekuwa na akili kama huyu
Sasa kitu gani kimekuchekesha?😅😅😅nimecheka hata kabla sijaangalia
Baada ya kuangalia sasa, mwanamke ana hasira sana yeye kajitunza ila mwanaume kitombile cha mtaa kwanza panga tu angetia moto hivyo vitu vyote ili aone majivu tu, uaminifu ni mzuri ila una gharama zake na ndo hizo
Ukiona mwanamke wako kakufumania na hajapandisha hasira namna hii ni ama hakupendi, anae mchepuko wake au kakukatia tamaa kabisa huenda akakuua kimya kimya
Inaonekana mwanaume ni apeche alolo,vitu Ni vya mwanamke ndo maana anakata vibovu vibovu anunue vipya!Mbona tv kairuka,kuna fridge hapo na radio angepita navyo vyote ,naona anachagua vya kufanyia uharibif,very smart woman🥳
Nafkiri alikuwa Visungura..Ana tatizo la afya ya akili
Hapo hakuna mke mkuu
Upuuzi gani? Vitu ni vyake kaamua kuvikatakata mwenyewe.Hata kama umenifumania ila huwezi kufanya upuuzi huu!!
Utaanzaje mkuu kumzuia na panga lenyewe linaonekana kali balaa,yani hapo akisogea tu kwa makali yale anakata kichwa,zinaa haijawahi kumuacha mtu salama...Umeshindwaje kumzuia asifanye huo uharibifu, ukapata nguvu za ku record?
Na utashangaa wanayamaliza na ndoa inaendelea vizuri tu, wanabaki kununua samani zingine tena.Ndio nimeshangaa, unaharibu mali wakati vitu vidogo hivyo vinazungumzika.
Ndio mapenzi hayo.Na utashangaa wanayamaliza na ndoa inaendelea vizuri tu, wanabaki kununua samani zingine tena.
Kweli kazingua, ila kuna wanawake wengine ni wastaarabu mpaka unashangaa. Kuna jamaa yetu alitualika kwenda kwake kula mbuzi choma siku ya Kumamosi (ilikuwa ni kawaida yetu). Huwa tunaanza na mchemsho wa nguvu, then vinywaji vikali tukiwa tunasubiria nyama choma.Kama hadi kurekodi kaweza tena maeneo tofauti tofauti anamfuata ni dhahiri anajua huyo mama aezi fanya kitu na hilo panga Mkuu.
Lakini yote kwa yote huyo jamaa kazingua.
Kweli akili ikivurugwa ina hatari kuliko risasi
Ukiona hivyo ana uhakika wa kupoozwa hasira na mchepuko na hiyo ni ticket ya kuachanaMume karekodi,
Kwenye hali kama hiyo ningeondoka na ndo ingekuwa mwisho wa ndoa