Endeleeni kujidanganya, kuna njia nyingi za kufanya mazoezi nyingine unaweza tumia uzito wako wa mwili ukajenga mwili safi kabisa ambao mmekaa kuuona kwenye tv tu mnahisi miili ya models kumbe nyie wenyewe ndo wavivu tu. Fuatilia kuhusu calisthenics uone, mazoezi mengi mno bila kifaa cha gym hata kimoja
Hao ni wafanyabiashara wa madini ambao walishazoea madawa toka kwa waganga wa kienyeji kufanikisha biashara zao na wameishazoea hiyo kitu, hata ukiwaelekeza hawawez kukuelewaWeek ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi
Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina leo ka post picha nyingine hizi hapa za mbunge tegemeo wa ccm bwana kasheku msukuma ambaye kwa mujibu wake yeye akiwa star tv siku moja alisema ni mkuu wa wachawi kanda ya ziwa.
ccm oyeee,ccm mpya oyeeee.
View attachment 1436791View attachment 1436792View attachment 1436793
Hivi huwezi kutumia vile vidonge vya nguruwe anenepe?kajamaa kamekonda ila kanahela
Anatunisha mikono na kamwili kimbaumbau hahaha. Aende gym kwanza akate hicho kitambi alafu ale sana protein kujenga misuli. Huyo hata ajifukize vipi na kimwili cha hivyo korona ikipita naye hachomoki.
Vijana wa kitanzania ingieni gym acheni uvivu. Miili ya design hii ni aibu, mtu akipita na kifua kimejaa vizuri, mgongo huo na six pack safi mke wako habaki salama. Vitu vingine watu mnajitakia wenyewe tu, matambitambi ovyo
Mbona mkuu wenye 6 packs wanamegewa sana shida huwa ni nini?Anatunisha mikono na kamwili kimbaumbau hahaha. Aende gym kwanza akate hicho kitambi alafu ale sana protein kujenga misuli. Huyo hata ajifukize vipi na kimwili cha hivyo korona ikipita naye hachomoki.
Vijana wa kitanzania ingieni gym acheni uvivu. Miili ya design hii ni aibu, mtu akipita na kifua kimejaa vizuri, mgongo huo na six pack safi mke wako habaki salama. Vitu vingine watu mnajitakia wenyewe tu, matambitambi ovyo
kajamaa kamekonda ila kanahela
Mbona mkuu wenye 6 packs wanamegewa sana shida huwa ni nini?
Hivi utajiri wake umeegemea kwenye nini? (biashara)Huyo ndo msela nondo wa lake zone bana,,full macofidence,
Pesa ipo
Gari zipo
Nyumba zipo
Wake wapo
Kazi ipo
Shida gani?
ZahabuHivi utajiri wake umeegemea kwenye nini? (biashara)
Kumbe!Zahabu
sawa corona kule ila asubiri IST yake tu kama ataendelea kujifukizaWeek ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi
Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina leo ka post picha nyingine hizi hapa za mbunge tegemeo wa ccm bwana kasheku msukuma ambaye kwa mujibu wake yeye akiwa star tv siku moja alisema ni mkuu wa wachawi kanda ya ziwa.
ccm oyeee,ccm mpya oyeeee.
View attachment 1436791View attachment 1436792View attachment 1436793
Mbona mkuu wenye 6 packs wanamegewa sana shida huwa ni nini?
Mkuu Acha kuzalilisha kitambi,, hicho sio kitambi hicho ni kiriba tumboAnatunisha mikono na kamwili kimbaumbau hahaha. Aende gym kwanza akate hicho kitambi alafu ale sana protein kujenga misuli. Huyo hata ajifukize vipi na kimwili cha hivyo korona ikipita naye hachomoki.
Vijana wa kitanzania ingieni gym acheni uvivu. Miili ya design hii ni aibu, mtu akipita na kifua kimejaa vizuri, mgongo huo na six pack safi mke wako habaki salama. Vitu vingine watu mnajitakia wenyewe tu, matambitambi ovyo
Huyo ndo msela nondo wa lake zone bana,,full macofidence,
Pesa ipo
Gari zipo
Nyumba zipo
Wake wapo
Kazi ipo
Shida gani?