video:huyu kavunja rekodi ya kujifukiza hapa corona haitii pua,wabunge ccm wasiojifukiza watoswe kura za maoni

Endeleeni kujidanganya, kuna njia nyingi za kufanya mazoezi nyingine unaweza tumia uzito wako wa mwili ukajenga mwili safi kabisa ambao mmekaa kuuona kwenye tv tu mnahisi miili ya models kumbe nyie wenyewe ndo wavivu tu. Fuatilia kuhusu calisthenics uone, mazoezi mengi mno bila kifaa cha gym hata kimoja

You're preaching to the choir. Nilianzisha uzi kabisa kuhusu health and wellness:

Fitness and wellness - JamiiForums

Aidha naelewa kwanini watu bado hawatilii maanani mambo ya mazoezi, maisha yenyewe tu ya mtanzania wa kawaida ni mazoezi tosha.
 
Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi
Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina leo ka post picha nyingine hizi hapa za mbunge tegemeo wa ccm bwana kasheku msukuma ambaye kwa mujibu wake yeye akiwa star tv siku moja alisema ni mkuu wa wachawi kanda ya ziwa.
ccm oyeee,ccm mpya oyeeee.

View attachment 1436791View attachment 1436792View attachment 1436793
Hao ni wafanyabiashara wa madini ambao walishazoea madawa toka kwa waganga wa kienyeji kufanikisha biashara zao na wameishazoea hiyo kitu, hata ukiwaelekeza hawawez kukuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatunisha mikono na kamwili kimbaumbau hahaha. Aende gym kwanza akate hicho kitambi alafu ale sana protein kujenga misuli. Huyo hata ajifukize vipi na kimwili cha hivyo korona ikipita naye hachomoki.

Vijana wa kitanzania ingieni gym acheni uvivu. Miili ya design hii ni aibu, mtu akipita na kifua kimejaa vizuri, mgongo huo na six pack safi mke wako habaki salama. Vitu vingine watu mnajitakia wenyewe tu, matambitambi ovyo

Endelea kupiga gym tu huku account inasoma Tsh 1000/=..
Hako kamsukuma kanamiliki hela ndio maana kamiliki confidence pia..

Ukiona mkeo anachepuka eti kaona six pack shukuru na piga talaka 100... Hapo umeoa empy box, mwanamke anayejielewa anapenda mwanaume fighter mwenye mitikasi mingi duniani huku..
 
Anatunisha mikono na kamwili kimbaumbau hahaha. Aende gym kwanza akate hicho kitambi alafu ale sana protein kujenga misuli. Huyo hata ajifukize vipi na kimwili cha hivyo korona ikipita naye hachomoki.

Vijana wa kitanzania ingieni gym acheni uvivu. Miili ya design hii ni aibu, mtu akipita na kifua kimejaa vizuri, mgongo huo na six pack safi mke wako habaki salama. Vitu vingine watu mnajitakia wenyewe tu, matambitambi ovyo
Mbona mkuu wenye 6 packs wanamegewa sana shida huwa ni nini?
 
Jamaa kakonda ila ni bilionea. Madini, uchawi, Mabasi, Majumba, magreda, mifugo, biashara nzitonzito ni moja ya matajiri wa kanda ya ziwa sasa nyie endeleeni na mapushapu na kunyanyua mavyuma mazitomazito.
 
Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi
Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina leo ka post picha nyingine hizi hapa za mbunge tegemeo wa ccm bwana kasheku msukuma ambaye kwa mujibu wake yeye akiwa star tv siku moja alisema ni mkuu wa wachawi kanda ya ziwa.
ccm oyeee,ccm mpya oyeeee.

View attachment 1436791View attachment 1436792View attachment 1436793
sawa corona kule ila asubiri IST yake tu kama ataendelea kujifukiza
 
Kagame KARUKA RUKA NA LOCK DOWN.
kaona uchumi unapumulia mipira kaachia.
Lock down mchezo.
Screenshot_20200502-095613.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatunisha mikono na kamwili kimbaumbau hahaha. Aende gym kwanza akate hicho kitambi alafu ale sana protein kujenga misuli. Huyo hata ajifukize vipi na kimwili cha hivyo korona ikipita naye hachomoki.

Vijana wa kitanzania ingieni gym acheni uvivu. Miili ya design hii ni aibu, mtu akipita na kifua kimejaa vizuri, mgongo huo na six pack safi mke wako habaki salama. Vitu vingine watu mnajitakia wenyewe tu, matambitambi ovyo
Mkuu Acha kuzalilisha kitambi,, hicho sio kitambi hicho ni kiriba tumbo
 
Huyo ndo msela nondo wa lake zone bana,,full macofidence,
Pesa ipo
Gari zipo
Nyumba zipo
Wake wapo
Kazi ipo
Shida gani?

Hahahahaha kuna jamaa hapo juu anazungumzia 6 packs wakati kajamaa kanapandisha ndege kila bongo movie atamkae anaenda kutafunia Geita..
 
Back
Top Bottom