Pre GE2025 Video: Huyu kijana wa UVCCM ametoa wapi nguvu ya kumkanya Tundu Lissu namna hii? No Reform No Elections inawauma sana CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mungu hakukosea kumuacha Lissu awe hai.
Kuna wakati mtu hujiona anaweza kila kitu sababu anao wa kumkingia kifua, anajisahau kuna kesho inakuja nguvu zake hazipo
 
Akina Makonda wamerudi
 
Hizo ndiyo tamu za Siasa

Upande huu wanatoa hoja hii, upande wa pili wanaitolea kauli ili kuchangamsha majukwaa

Wameona Mzee Wasira amepumzika kidogo
 
Uchaguzi 2025 upo tu whether inyeshe mvua au liwake jua. Hakuna inzi wala mende yeyote wa CHADEMA anaweza kuzuia.

Wanachoweza CHADEMA ni wao kutoshiriki tu
 
Anafanya kazi vizuri sana huyu jamaa anapigia debe No reform no election
 
Lissu ni mtu mdogo tu mwenye mdomo mkubwa. Anaweza kujibiwa na yeyote isipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Raisi wako alimpa lissu jina la simba wewe huko ikwiriri ulipo angekupa la fisi kabisa.
 
Raisi wako alimpa lissu jina la simba wewe huko ikwiriri ulipo angekupa la fisi kabisa.
Kama ungelisoma Literature in English kama mimi ungelijua kuwa Mh. Rais alitamka hivyo kama "satire"! Maana yake ni

"the use of humour, irony, exaggeration, or ridicule to expose and criticize people's stupidity or vices, particularly in the context of contemporary politics and other topical issues".
Ahahahahaha!!
 
Hivi mtu alisema no reform no election inakuumia Nini . Anasema kwa mtazamo wake sasa wewe unaweweseka . Nijuavyo ni kuwa hamtaki kuona mbinu za udanganyifu wenu zikiwa wazi .
 
Inabidi CHADEMA wa compromise kuingia kwenye uchaguzi huu kwa manufaa ya Chama chao na kurekebisha hali ya siasa nchini
Hukuona kilichofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka jana?

1. Wagombea wao karibu wote walienguliwa.
2. Kura feki za ccm kuingizwa vituoni kwa shuruti
3. Washindi wa uchaguzi hawatokani na idadi ya kura - ref: confession ya Nape...


View: https://youtube.com/watch?v=bsMYAk6cWaE&si=6_SZUYhMRMmizD3T

View: https://youtube.com/shorts/4kAdyEwuvD8?si=JLB0VBzgBqwmbI9z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…