Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina Makonda wamerudiWakuu,
Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu.
Kijana mdogo kama huyu anapata wapi nguvu ya kuiita CHADEMA chama cha Kicoba? Confidence hii anatoa wapi?
===========================================================
Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Ndug. Victor Makundi amezungumza na vijana wa UVCCM Katika Kambi Maalumu la Vijana Mkoani Kilimanjaro.
Ndug.Mbaraza amewasihi Vijana kuilinda Katiba ya Nchi Yetu, Hasa katika kipindi Hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu, amesema hayo ikizingatiwa kwamba hivi karibuni Mwenyekiti Wa Chadema Tundu Lissu alitoa matamko ya kutaka kuvunja matakwa ya Katiba Katika Taifa letu ambayo yanahamasisha kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu.
Mbaraza Amewataka Vijana kuhakikisha wanatekeleza Wajibu Wao Wa kutokuvurugwa na Wasaliti Hawa katika Taifa Letu.
Aidha Ndugu Mbaraza Amemuonya Tundu Lissu Lissu na Genge Lake Ya kwamba Swala La Uchaguzi Ni swala la lazima na la kikatiba katika Taifa letu na si takwa la kifamilia, Hivo Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka huu Utafanyika.
Uchaguzi 2025 upo tu whether inyeshe mvua au liwake jua. Hakuna inzi wala mende yeyote wa CHADEMA anaweza kuzuia.Sehemu kubwa ya failure ya elimu yetu ni pamoja na kutowajengea vijana uwezo wa kujibu hoja kwa hoja, badala yake wanajibu hoja kwa mipasho. Kama nchi ni yetu sote, basi tuweke utaratibu mzuri wa kila mtu kushiriki kwenye masuala ya kitaifa bila vitisho, upendeleo na kwa uwazi usiotia mashaka kwa yoyote. Hebu jibuni hoja za Lissu kwa hoja sahihi badala ya makofi na kelele bila kutafakari kwa umakini undani wa hoja zake
Anafanya kazi vizuri sana huyu jamaa anapigia debe No reform no electionWakuu,
Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu.
Kijana mdogo kama huyu anapata wapi nguvu ya kuiita CHADEMA chama cha Kicoba? Confidence hii anatoa wapi?
===========================================================
Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Ndug. Victor Makundi amezungumza na vijana wa UVCCM Katika Kambi Maalumu la Vijana Mkoani Kilimanjaro.
Ndug.Mbaraza amewasihi Vijana kuilinda Katiba ya Nchi Yetu, Hasa katika kipindi Hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu, amesema hayo ikizingatiwa kwamba hivi karibuni Mwenyekiti Wa Chadema Tundu Lissu alitoa matamko ya kutaka kuvunja matakwa ya Katiba Katika Taifa letu ambayo yanahamasisha kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu.
Mbaraza Amewataka Vijana kuhakikisha wanatekeleza Wajibu Wao Wa kutokuvurugwa na Wasaliti Hawa katika Taifa Letu.
Aidha Ndugu Mbaraza Amemuonya Tundu Lissu Lissu na Genge Lake Ya kwamba Swala La Uchaguzi Ni swala la lazima na la kikatiba katika Taifa letu na si takwa la kifamilia, Hivo Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka huu Utafanyika.
Mkuu unajishusha sana.Warioba Aliwahi zabuliwa vibao n Bashite sembuse huyo kibaraka?
Nasikia hawa ndio wamejaa kwenye JWTZ.Majitu haya nayachukia sana.
Chawa wa samiaWarioba Aliwahi zabuliwa vibao n Bashite sembuse huyo kibaraka?
Raisi wako alimpa lissu jina la simba wewe huko ikwiriri ulipo angekupa la fisi kabisa.Lissu ni mtu mdogo tu mwenye mdomo mkubwa. Anaweza kujibiwa na yeyote isipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama ungelisoma Literature in English kama mimi ungelijua kuwa Mh. Rais alitamka hivyo kama "satire"! Maana yake niRaisi wako alimpa lissu jina la simba wewe huko ikwiriri ulipo angekupa la fisi kabisa.
Unaweza kuwa na kamdomo ila ukawa huna akiliWarioba Aliwahi zabuliwa vibao n Bashite sembuse huyo kibaraka?
Ujumbe umefikaUnaweza kuwa na kamdomo ila ukawa huna akili
Ujumbe gani wa hovyo umefika? Utakua umewafikia watu wa hovyoUjumbe umefika
Hukuona kilichofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka jana?Inabidi CHADEMA wa compromise kuingia kwenye uchaguzi huu kwa manufaa ya Chama chao na kurekebisha hali ya siasa nchini
Hivi wizi wa kura siyo kuvunja Katiba ya nchi?!!Ndug.Mbaraza amewasihi Vijana kuilinda Katiba ya Nchi Yetu,