Mbona wewe hujabadilika kaka? Au tayari upo CHADEMA? Mmepishana naye?Human beings are not static, they are dynamic, and hence, they change with time, place and circumstances!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe hujabadilika kaka? Au tayari upo CHADEMA? Mmepishana naye?Human beings are not static, they are dynamic, and hence, they change with time, place and circumstances!.
P
Nini maana ya neno chama cha demokrasia na maendeleo.....Binafsi sikutegemea jamaa angekuja kuwa mnafiki na mpuuzi kiasi hiki.
ulikuwa mpango maalum dhidi ya CHADEMANchi yetu hii na wanaopenda kujiita wanasiasa,... sijui kama unaweza ukawapata wanasiasa kwelikweli wanaoamini na kusimamia chochote zaidi ya uanasiasa wao.
Kama wapo, basi hawajitambulishi ili tuwahesabu.
Labda, nasema labda, (kwa sababu kuna waigizaji wazuri kama yule Binti Halima Mdee); kama Mchungaji Msigwa sio muigizaji mzuri, kwa leo hii ndiye ninayeweza kusema ni tofauti. Lakini sijui.
Nyarandu aliigiza vizuri vya kutosha: alipoukosa uwaziri, halafu Magufuli kafanya aliyofanya..., ilikuwa ni uigizaji mzuri kiasi cha kutosha kwa Nyalandu kukoga nyoyo za watu kwa kuacha maslahi ya ubunge. Ni nani asingehadaika na kitendo cha namna hiyo kwa wanasiasa wetu wa siku hizi!
Siku hizi mtu kujiuzuru toka sehemu yoyote ya maslahi kwake eti kwa kulinda anayoyasimamia au kuyaamini, jambo la namna hiyo halipo kabisa.
Kwa hiyo Nyalandu, kama wenzake wote walivyo, ni msaka fursa popote anapodhani fursa inapatikana. CCM sasa hivi ndipo anapoona fursa inapatikana, kwa nini aendelee kupoteza muda wake CHADEMA!
Kama ni kweli CCM wanao uwezo kiasi hiki! Ninasita sana kuamini CCM hii ya sasa kuwa na mbinu za hali ya juu hivi.ulikuwa mpango maalum dhidi ya CHADEMA
Binafsi sikutegemea jamaa angekuja kuwa mnafiki na mpuuzi kiasi hiki.
Anadai Chadema walimteka...kasahau kambi ya watekaji, watesaji na wauaji ilipo!
View attachment 1772746
Makamanda bana! Ule ushujaa mliokuwa mnaimba umekufa ghafla!View attachment 1772606
Naupenda Urais...
View attachment 1772605
Nampenda Lissu...
View attachment 1772607'
Naipenda Chadema...
View attachment 1772608
Hapa nimefika...