Umeniwahi mkuuwhy are you doubting that?
ile ALTEZZA na BMW jumla inaweza kufika bei gani?Huyu nadhani alilamba laki tatu tsh.
Hata ukiwa extra vagant vp huwezi filisika kama
huyu check bob
Mbona Madam hakumfilisi CHIBU? ama KANUMBA au JUMBE? iweje TEGE BOY ndo afilisiwe zaidi?Utamu wa Wema haukuwahi kumuacha mtu salama
Post sent using JamiiForums mobile app
Kijana wa mkoani kaingia mjini akalivaa paka shume likamlambaUtamu wa Wema haukuwahi kumuacha mtu salama
Post sent using JamiiForums mobile app
madame alilipwa 5m kwenye isue flan..haikupita hata wiki ikaishaUtamu wa Wema haukuwahi kumuacha mtu salama
Post sent using JamiiForums mobile app
Navosikia haikuwa nyumba yake alipewa na mwarabu flani iv akute anakaa so asa iv haishi humo tena ashahamaHuyu jamaa atakuja kuuza hata ile nyumba ngoja kidogo tu
Duh! Okay dats why huwa haioneshi hyo nyumba na huyu ni mtu wa show off sana, bac nimeamini mchz Kafulia na ss anaishi kwa jina lake tuuuuNavosikia haikuwa nyumba yake alipewa na mwarabu flani iv akute anakaa so asa iv haishi humo tena ashahama
Post sent using JamiiForums mobile app